twenty2
JF-Expert Member
- May 20, 2011
- 296
- 32
neno tayari ktk uhusiano maana yake ni kwamba mtu amejiandaa na yuko tayari kuingia ktk uhusiano hasa ule wa muda mrefu na mara nyingi husema mtu yuko tayari akiwa ameshakamilisha kujiandaa na maisha yake,watu wengi udhani kuwa tayari kuingia kwenye uhusiano ni miaka20,lakini baadae hugundua kuwa wanaitaji maandalizi makubwa kuingia ktk ulimwengu huo na wengine hujikuta wakiwa ktk matatizo makubwa kutokana na kuwahi ktk suala zma la mapenzi.