JE Ungependekeza Adhabu gani katika hili?

Kituku

JF-Expert Member
Nov 18, 2010
238
24
Wanajamii
Najua wengi mmesikia kwenye vyombo vya habari yule mzee wa kusini aliamua kumdhalilisha binti yake na kufanya nae mapenzi hata kumpunguzia muda wa kwenda shule.
Duh,mimi imenihudhunisha sana na ninavyohisi yawezekana kuna familia zinazofanyiwa hivi ingawa zimeshindwa kujitokeza.
Ni aibu na fedheha na unyama sana...

Mtu kama huyu kufungwa tu inatosha au,
 
kuku kala mayai yake,ok kawaida huwa tunamchoma mdomo ili asiweze tena hivyo kwa huyu mzee nanii nayo ichomwe!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom