Je ungependa JK azifute wizara zipi?

Ninyi TISS siku hizi mumeanza kumshauri vizuri rais wetu mpendwa JK. Zamani mulitoa ushauri wa hovyo, mukasababisha achukiwe na wananchi, wakati ni mtu mwenye mapenzi makubwa na nchi. JK has made history in this country on the New constitution issue! Maraisi wote waliomtangulia walikuwa madikteta katika hili.

USHAURI WANGU:

Wizara kwa namna yote lazima zipunguzwe.
Zinazotakiwa kubaki kwa sasa ni:
1.EA coz of the EA treaty.
2.Fedha na uchumi
3.Ujenzi, nyumba na ardhi
4.Defence
5.Internal security and immigration
6.TAMISEMI(isiwe chini ya waziri mkuu)
7.Wanawake na watoto
8.Sheria, katiba and good governance
9.Kilimo,misitu,maji,umwagiliaji,uvuvi na ufugaji( with 2 deputy ministers)
10.Afya na ustawi wa jamii
11.Habari,kazi,michezo na utamaduni.
12.Elimu( inclusive)

13.Foreign ministry(Membe abaki)

Hizi zinatosha kabisa kwa TZ.

Mambo mengine yachomekewe humo kama idara.
Success stratergy: Kuweka mawazili ambao wana fani husika ya wizara. JK asiangalie siasa, bali uwezo wa mtu.
Magufuli abaki wizara hiyo ya ujenzi, Nahodha abaki w.ya.ndani, Pindi Chana aingie Sheria na katiba(naibu Kairuki).
asante kwa leo!

Ndugu zangu TISS acheni kufanya mambo kisiasa.Sasa fuateni principles.Naona sasa mumebadilika sana! big up!
Mkuu heshima kwako. Umezipanga vyema sana wizara hizo na zinaweza kuleta tija. Ila Mkuu hiyo ya Utawala Bora inatakiwa iwe peke yake, WAKUBWA nadhani wanataka hivyo. Ziwe hizo na watafutwe mawaziri wachapa mzigo chini ya Waziri mkuu mkoromaji basi nadhani mambo yataenda
 
Mkuu ungeachana na hii lugha. Huwa naziheshimu post zako za kiswahili lakini hizi za kizungu inakuwa kaaaaazi kwelikweli! Angalia matumizi ya advice na advise! Umeenda chaka, rudi kwenye lugha yetu mwanana mzee. Unatumia zaidi sisisi katika kuandika kiingereza toka kiswahili.

Mkuu nashukuru sana kwa ushauri..lakini ushauri wako umejaa uchama na upinzani usio na tija...neno advice or advise inategemeana unatumia kiingereza cha wapi.Maana ya hayo maneno mawili ni the same.Nakubaliana na wewe sijui kiingereza ila na wewe usilete ushabiki wa ki*****nga kwenye mambo ya msingi.Thanx ideed!! Labda kama unataka kuniambia kingine.
 
Ninyi TISS siku hizi mumeanza kumshauri vizuri rais wetu mpendwa JK. Zamani mulitoa ushauri wa hovyo, mukasababisha achukiwe na wananchi, wakati ni mtu mwenye mapenzi makubwa na nchi. JK has made history in this country on the New constitution issue! Maraisi wote waliomtangulia walikuwa madikteta katika hili.

USHAURI WANGU:

Wizara kwa namna yote lazima zipunguzwe.
Zinazotakiwa kubaki kwa sasa ni:
1.EA coz of the EA treaty.
2.Fedha na uchumi
3.Ujenzi, nyumba na ardhi
4.Defence
5.Internal security and immigration
6.TAMISEMI(isiwe chini ya waziri mkuu)
7.Wanawake na watoto
8.Sheria, katiba and good governance
9.Kilimo,misitu,maji,umwagiliaji,uvuvi na ufugaji( with 2 deputy ministers)
10.Afya na ustawi wa jamii
11.Habari,kazi,michezo na utamaduni.
12.Elimu( inclusive)

13.Foreign ministry(Membe abaki)

Hizi zinatosha kabisa kwa TZ.

Mambo mengine yachomekewe humo kama idara.
Success stratergy: Kuweka mawazili ambao wana fani husika ya wizara. JK asiangalie siasa, bali uwezo wa mtu.
Magufuli abaki wizara hiyo ya ujenzi, Nahodha abaki w.ya.ndani, Pindi Chana aingie Sheria na katiba(naibu Kairuki).
asante kwa leo!

Ndugu zangu TISS acheni kufanya mambo kisiasa.Sasa fuateni principles.Naona sasa mumebadilika sana! big up!
Uko sawa mkuu ,ningependelea kusiwe na manaibu waziri maana utakuta kuna baadhi ya manaibu hawasikiki kabisa wala hawaoni kan wakifanya kazi wao nikula mishahara na kutembea na mashangingi, huu nawo ni mzigo kwa taifa.Wizara kama kumi na tano bila ya manaibu inawezekana,ni hayo 2 yaliyo moyoni kwangu ahsanten.
 
Mkuu nashukuru sana kwa ushauri..lakini ushauri wako umejaa uchama na upinzani usio na tija...neno advice or advise inategemeana unatumia kiingereza cha wapi.Maana ya hayo maneno mawili ni the same.Nakubaliana na wewe sijui kiingereza ila na wewe usilete ushabiki wa ki*****nga kwenye mambo ya msingi.Thanx ideed!! Labda kama unataka kuniambia kingine.
Ilikuwa ni ushauri tu mkuu. I was just advising you by giving you my advice!
 
Back
Top Bottom