Je ungependa JK azifute wizara zipi?

Kuna wizara 28. Je ungependa wizara zipi zifutwe na kwanini?
Mkuu ziweke hapa basi ili tukumbushane. Pia kumbuka ni vigumu kufuta wizara unachotakiwa na kuunganisha wizara ama majukumu ya wizara mbalimbali ili kupunguza ukubwa wa baraza la mawaziri. Ukifuta itakuwa kazi.
 
Zibaki hizi nyingine zifutwe:
1.Miundombinu(barabara,viwanda,umeme)
2.Wizara ya mali asili(iingizwe utalii,kilimo,maji,madini,misitu na v2 vinavyofana na hvyo)
3.Wizara ya Fedha na Uchumi(kazi,uchumi etc)
4.Wizara ya afya(ustawi wa jamii,afya yenyew,etc)
5.Wizara ya Elimu(ya juu,elimu kati etc)
6.wizara ya michezo na utamaduni
7.Wizara Mtambuko(makolokolo ambayo hayana wizr na yanaingiliana na wzr nyingn indirect)

Baaaaaaasiiiiiiiiiii.
 
Hivi hii nayo ni thread?

What do you think? Yes this is a thread,problem of you,is that;whenever someone starts the thread which touches interest of magamba you tend to ignore it.For me this is a constructive thread,because for many years Tanzanians are complaining about larger number of ministries and ministers which has implications in term of cost of running these ministries.
 
Zibaki ulinzi, fedha na biashara, afya, maliasili, nishati na mambo ya ndani. Kwa tz ya leo hizo zinatosha
 
Zibaki hizi nyingine zifutwe:
1.Miundombinu(barabara,viwanda,umeme)
2.Wizara ya mali asili(iingizwe utalii,kilimo,maji,madini,misitu na v2 vinavyofana na hvyo)
3.Wizara ya Fedha na Uchumi(kazi,uchumi etc)
4.Wizara ya afya(ustawi wa jamii,afya yenyew,etc)
5.Wizara ya Elimu(ya juu,elimu kati etc)
6.wizara ya michezo na utamaduni
7.Wizara Mtambuko(makolokolo ambayo hayana wizr na yanaingiliana na wzr nyingn indirect)

Baaaaaaasiiiiiiiiiii.
Mkuu kuna wizara zingine ambazo lazima ziwepo kwa mujibu wa mikataba na nyingine kwa mujibu wa matakwa ya WAKUBWA. Mfano lazima iwepo wizara ya Afrika Mashariki - hii ni kwa mujibu wa makataba wa uanzishaji wa EAC hivyo huwezi kuiunganisha na wizara nyingine. Mkuu pia kuna wizara kama ya utawala bora - hii lazima iwe na waziri wake, nyingine ni wizara ya Jinsia/wanawake: hii nayo WAKUBWA (Development Partners) wanaitaka. Hizo kwa uchache lazima ziwepo utake usitake!
 
What do you think? Yes this is a thread,problem of you,is that;whenever someone starts the thread which touches interest of magamba you tend to ignore it.For me this is a constructive thread,because for many years Tanzanians are complaining about larger number of ministries and ministers which it has implications in term of cost of running these ministries.
Lugha ya Taifa ingenisaidia hata mimi kuelewa. Labda sijui vizuri kiingereza mkuu ila neno which linapoongozana na it linanipa tabu sana kuelewa.
 
Wakubwa wanataka?! Kwa Cameron,mbona hawakukubali?

Mkuu,thinking kama yako ya kukubali yale WAKUBWA wanayoyataka,ndiyo moja ya sababu ya umaskini wetu,kuanzia SAPs za WB/IMF,gender equality,environmental affairs,climate change n.k.
Haya ya kukubalikubali ndiyo mwanzo wa land grabbings tunazoshuhudia sasa kwa mwamvuli wa uwekezaji!

Tubali fikra hizo,sisi kama nchi tujiamulie mambo yetu wenyewe. Mwalimu alituasa kuhusu hayo,lakini tumempuaza,na sasa tunaona madhara yake.
 
Hoja yako ni ya msingi! Na ni wazi ukubwa Wa serikali yetu unahitaji mjadala mpana kwa kuwa nitatizo lilowazi! Lakini kwa nini umeamua kutoa povu lako kwa kingereza?
Kingereza chako ni kile cha kiswahili! "problem of you"

Tudumishe lugha yetu ya Kiswahili! Unakua Kama Mhe Mkosamali!!

What do you think? Yes this is a thread,problem of you,is that;whenever someone starts the thread which touches interest of magamba you tend to ignore it.For me this is a constructive thread,because for many years Tanzanians are complaining about larger number of ministries and ministers which it has implications in term of cost of running these ministries.
 
Mkuu kuna wizara zingine ambazo lazima ziwepo kwa mujibu wa mikataba na nyingine kwa mujibu wa matakwa ya WAKUBWA. Mfano lazima iwepo wizara ya Afrika Mashariki - hii ni kwa mujibu wa makataba wa uanzishaji wa EAC hivyo huwezi kuiunganisha na wizara nyingine. Mkuu pia kuna wizara kama ya utawala bora - hii lazima iwe na waziri wake, nyingine ni wizara ya Jinsia/wanawake: hii nayo WAKUBWA (Development Partners) wanaitaka. Hizo kwa uchache lazima ziwepo utake usitake!

Mikataba kitu gani,inavunjwa tu kama haina manufaa? Haya mambo ndio yanatugharimu sana,zote hizo zinavunjwa na kua deptment.
 
Lugha ya Taifa ingenisaidia hata mimi kuelewa. Labda sijui vizuri kiingereza mkuu ila neno which linapoongozana na it linanipa tabu sana kuelewa.

Mkuu sijui kwanini watu wanapenda kujikweza! Hiki ni kingereza cha mtoto wa darasa la 3 st kayumba! "problem of you".... "tatizo lako wewe"! Sijui kwa nini watu wanapenda kujidhalilisha bila sababu ya msingi!
 
Wakubwa wanataka?! Kwa Cameron,mbona hawakukubali?

Mkuu,thinking kama yako ya kukubali yale WAKUBWA wanayoyataka,ndiyo moja ya sababu ya umaskini wetu,kuanzia SAPs za WB/IMF,gender equality,environmental affairs,climate change n.k.
Haya ya kukubalikubali ndiyo mwanzo wa land grabbings tunazoshuhudia sasa kwa mwamvuli wa uwekezaji!

Tubali fikra hizo,sisi kama nchi tujiamulie mambo yetu wenyewe. Mwalimu alituasa kuhusu hayo,lakini tumempuaza,na sasa tunaona madhara yake.
Mkuu Nzi mimi siyo kwamba nakubaliana na hayo matakwa ya wakubwa. Muwe mnasoma between lines angalia nimeandika WAKUBWA na si wakubwa. Kuandika neno kwa herufi kubwa ambapo lilitakiwa liwe herufi ndogo basi linakuwa na ujumbe tofauti. Pamoja na hayo mkuu nilikuwa nataka kuonyesha jinsi serikali zetu zinavyoendeshwa na WAKUBWA.
 
  • Thanks
Reactions: Nzi
Mikataba kitu gani,inavunjwa tu kama haina manufaa? Haya mambo ndio yanatugharimu sana,zote hizo zinavunjwa na kua deptment.

Mkuu tunaendeshwa huwezi kuamka tu na kuivunja. Tungekuwa tumeishavunja mikataba ya madini. Katika historia ya nchi hii kuna mtu mmoja tu alithubutu kuupuuza mkataba wa kikoloni, sijawahi kusikia mkataba mwingine ukivunjwa hapa nchini.
 
  • Jk azifute kama rais au kama kiongozi anayewajibika kama mfano kwa wengine? Kama rais sawa ila hiyo nyingine hapana.
  • Kama ni kuzifuta coz of utendaji bora basi afute zote, zibaki kama idara za serikali, isipokuwa zile ambazo msingi wake ni sheria.
 
Mkuu tunaendeshwa huwezi kuamka tu na kuivunja. Tungekuwa tumeishavunja mikataba ya madini. Katika historia ya nchi hii kuna mtu mmoja tu alithubutu kuupuuza mkataba wa kikoloni, sijawahi kusikia mkataba mwingine ukivunjwa hapa nchini.

Viongozi wetu si unawajua? Mambo madogo hawayawezi,je hayo ya kuvunja hawa hawayawezi,tunaitaji kiongozi mwenye nia ya dhati kama nyerere ndio wenye gutz za kufanya na sio hawa wauza nyago kwenye media workdone zero!
 
Bwana eeh znafutika tu kwa wanawake na watoto lazma wawe na wizara binafsi?
 
Back
Top Bottom