Je ungeamua nini hapa....??!

DEVINE

JF-Expert Member
Mar 11, 2011
536
86
....Baada ya mpenzi wako kutoka kwenda uwani,unafungua simu yake kama kumchunguza ktk (inbox) unakuta ujumbe huu... "...Honey am sorry,ukweli nilikosa jinsi ya kuwasiliana na wewe kwa kweli ,naogopa hata kuonana na wewe usoni najua ulikuwa ukinitafuta sana ila kwa sasa nimeamua kumrudia mungu na kujikaza kisabuni kukuandikia haya,ila nafsi inanisuta ninaomba sana msamaha wako,najua umeshtushwa na ujumbe huu.Ila Samahani nilijua nitakuumiza tu kwa taarifa hii yangu kwako. Naomba utambue nakupenda sana ila ishatokea pokea kama ilivyo,mimi kwa sasa ni muathirika wa virusi vya ukimwi.Najua hata wewe utakuwa navyo tu,kwani tumeshiriki tendo la ndoa mara nyingi sana na si ivyo tu wewe ndiye wa mwisho niliye shiriki nawe..Nisamehe kwani nilikuwa na wapenzi wengi pamoja nawe,ila wewe ndiye niliye kupenda sana ila ishatokea nimekupa gonjwa kwama malipo ya penzi lako kwangu.Nisamehe kwani yalishatokea na kupata virusi sio mwisho wa maisha..Nikushauri tu kawaone wataalam wa afya kama nilivyo fanya mimi,pia umrudie Mungu achana na ngono zembe...." .
=>wakati unausoma ujumbe huo ni dakika chache tu mmetoka ku-enjoy tendo bila kinga,je utafanya nini kama maamuzi yako ya awali?
 
sasa hapo ufanyeje?
Kuna la kufanya hapo tena?

Subiri incubation period ya miezi mitatu ukapime basi.
 
kama alivyosema hapo (red+bolded) kapime, fata ushauri na ishi kwa matumaini. no way, ushalikoroga.
 
...Dah,inaumaa

Kimetokea tayari. utakaa hapo uhuzunike au utaamka usonge mbele.?
Ni kuanguka tu kwa maisha. ni kupima labda hata huna na kutokufanya tendo la ndoa na wengine.
Jichunge tu kutowaambukiza wengine kwa njia yeyote ili . Life goes on .
 
.Fanya imekutokeaa utafanya nini?
 
Inahitaji busara. Inaweza kuwa sms hiyo ni gear tu ya kuvunja ndoa yenu. Kama ni mimi ningekaa naye huyo bi mkubwa anieleze ukweli wa hiyo SMS lakini nikiwa na taadhali kichwani. Majibu nitakayopata kutokana na maongezi yetu ndiyo yatakayonifanya niamue cha kufanya. :shock:
 
uamuzi mzuri,ujue kunauwezekano ukafanya sex bila kinga na usipate maambukizi vilevile.
 
.Fanya imekutokeaa utafanya nini?

Get over it..

Ngoma si kitu kizuri kabisa. nawapa pole wanaopitia janga hili sasa.
ila kumbukeni kuna magonjwa mingine ni balaa zaidi. kitu kama Cancer
ya ngozi, au ya ini, etc ikiwa kwenye stage ya mwisho unahesabu siku za kuishi.
au kama umewahi sikia hao watoto waliiozaliwa bila ngozi . we fikiri maisha yako yote huna ngozi.

Ni challenge za maisha inategemea uko strong kiasi gani .
even tho you have to pick yourself up and move on . that's life
 
Back
Top Bottom