Je Unazo Siri Ambazo Hutozisema Hadi Ukifa?

skeletons! ben carson alisema 'never put skeletons in ur closet coz they will hunt u down till they find u'. kuna cases kama 3 nimeshuhudia unakuta kijana yuko 25+ yrs of age,afu anaitwa na mzee ambae anakaribia kukata kauli na kuambiwa 'im nt ur father!!'. women can keep a secret aisee,especially kuhusu baba wa mtoto!
 
King'asti, umeona eeeh.
 
Mfano wa siri ni kama mwanamke kuwa historia ya kubakwa pengine na mwanaume zaidi mmoja{train},na hata mwanaume kuwahi kufanyiwa tendo kinyume na maumbile iwe kwa hiyari ama lazima haijalishi..Kuua kwa makusudi labda kwa sumu au mganga, binadamu yeyote awe mzazi,mtoto,mke au mume. Utaweza kuficha historia yako ya wizi ama hata ujambazi uliouacha. Utaficha kitendo chako cha kuwahi kulala na shoga,mwanamke au mwanaume punguani,chizi na kwa wengine hata mtu mwenye ulemavu wa viungo hasa wa miguu..
 
Naona umeanza kufungua............................
 
Naamini 100% kuwa kila binadamu anazo siri ama habari nyeti ambazo atakaa nazo na atazikwa nazo. Kuna sababu mbalimbali ambazo zinachangia kutozisema kama vile kuogopa kuvunja ndoa, mahusiano, kutenganisha familia ama hata kwenda jela ama kulipiziwa kisasi. Unaposema hapo juu kwenye red eti wewe binafsi huna sidhani kama uko honest. Kila member humu JF anazo na deep down kila mtu analijua hilo na dhamira zinatusuta rohoni

nakuunga mkono 99%..kwa kuongezea ili zitimie mia ni kua..wakati mwingine jambo linakua la siri bila ya kudhamiria/kupanga iwe hivyo...ni pale ambapo humshirikishi mtu yoyote jambo unalolifaham/lililokutokea pengine kwa kutoona umuhimu wa kuwashirikisha,kutopata nafasi au kusahau jambo hilo kwa muda fulani..iyo inabaki kuwa siri kwako tu.
 
Lakini ipo siku moyo utawashwa na utataka kukitoa kilicho ndani ya kifua chako
 
skeletons! ben carson alisema 'never put skeletons in ur closet coz they will hunt u down till they find u'. kuna cases kama 3 nimeshuhudia unakuta kijana yuko 25+ yrs of age,afu anaitwa na mzee ambae anakaribia kukata kauli na kuambiwa 'im nt ur father!!'. women can keep a secret aisee,especially kuhusu baba wa mtoto!

It's a terrible thing for anyone to have to go through and it just hurts to the core. I'm glad I wasn't lied to.

Lakini kwa nini udanganye kuhusu hilo? Msukumo wa kudanganya unakuwa ni nini?
 
This is crazy... yani siri ambazo sitasema hadi kufa...?? halafu naulizwa tena?? za nini?
 
siri zangu mbili kubwa nilizotunza kwa muda mlefu sana..nilimwambia mama hadi leo mama kazitunza.nitaingia kivingine yaani na ID nyingine ili kueleza siri hizo.bwana awe nanyi..
 
ndo yale ati ya kushikilia ndoa sijui.wazee zamani walikua na siri zao and the whole family knew hw to seal their mouths. wengine it was fo all the good reasons. say case moja mdada aliokotwa porini huko umasaini.so the couple took her.the father told her a day b4 he died of cancer,na issue haikuwa urithi.bt it was so that she can hunt down her other family. tell me NN, if it was u,wld u like to know ur true ID@25 yrs of age?
It's a terrible thing for anyone to have to go through and it just hurts to the core. I'm glad I wasn't lied to. Lakini kwa nini udanganye kuhusu hilo? Msukumo wa kudanganya unakuwa ni nini?
 
tell me NN, if it was u,wld u like to know ur true ID@25 yrs of age?

I sure would like to know because I love the truth, I am a truth fighter and therefore, I can handle the truth.

And I'll ask my mother why did she do me like that?

I will definitely have a whole lot say because theorizing about the whys behind the whats is my shtick.

Would you like to know if you were in such a situation?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom