Pearl
JF-Expert Member
- Nov 25, 2009
- 3,036
- 309
lol a very big bull/police .........,
Nahusika sana hapo and you know it
Nahusika sana hapo and you know it
Firstlady huu muda Today 02:23 AM wakati unaposti hii thread sijui ulikuwa unafanya nini lol
Hahahaausingizi ulimwisha ndo maana akaanza kuwaza sura nzito,ngumu sijui chachu kama ukwaju LoL
FL acha vituko
Kuna sura ya mbuzi
hiyo ndiyo ikoje.natamani sana kujua maana wanawake wengi huzungumza kijuujuu tu bila kuweka bayana jinsi ya kuzitambuame wangu ana sura mlegezo.
Kuna maneno nimeyasikia kwa wasichana na wanawake wengi juu ya aina za sura za wanaume na nayaleta kwenu wanajamvi kunisaidia kutambua ukweli zaid.
Nimesikia sura za wanaume zimegawanyika katika makundi mbalimbali ambayo ni :-
wenye sura nzito,sura kavu,sura chachu,sura ngumu, sura chungu na wachache sura telezi.
kwa anayefahamu zaidi naomba anisaidie kunielewesha kwani natamani kujua zaidi juu ya hizi sura za hawa wenzetu maana nimesikia sura zao hujengeka kutokana na tabia za mazoea kama ukali, ubabe,hasira n.k na kamwe hazihusiani na uumbaji wa Muumba.
labda sura chachu ndio najua kidogo kwamba hujengeka kutokana na jazba za mara kwa mara,ukali,gubu na mengineyo ambayo hupelekea sura kuchachuka kutokana na muda mwingi kutokuwa na furaha na badala yake maugomvi ugomvi tu.Unajua maana ya kila sura? Tufafanulieni jinsi kila sura hiyo ilivyo ili tujue tuna sura gani.
jamani we TF unadhani nilikuwa wapi mida hiyo?au waddhani nilikuwa nafanya nini zaid ya kushika laptop tu?kwani we unasura gani?Firstlady huu muda Today 02:23 AM wakati unaposti hii thread sijui ulikuwa unafanya nini lol
hahaha..........kwani hata marafiki ukiwatazama huwez ona hizi sura ?natamani kujua tofauti zake aiseeFL ngoja leo nifanye zoezi la kumtazama usoni siku nzima then nitakurudia.
ni kweli mi nakuunga mkono japo sijafanya official research lakini hii kitu ipo kabisa...kuna baadhi ya wanaume kulingana na tabia zao kama ulevi, umalaya, ukatili n.k ukiwaangalia sura zao kama unaweza kugundua kuwa wamefall katika tabia fulani kutokana na kudumu kwa muda mrefu katika tabia husika, na kama unajua phsycology hata wakati wa kuzungumza nae unaweza kutambua huyo mtu anatabia fulani...mimi personally naweza kutambua tabia ya mtu ninapokutana nae kwa mara ya kwanza wakati nikimtazama sura yake...anaebisha aje nimwambie lol:A S-baby: n.k ...Kuna maneno nimeyasikia kwa wasichana na wanawake wengi juu ya aina za sura za wanaume na nayaleta kwenu wanajamvi kunisaidia kutambua ukweli zaid.
Nimesikia sura za wanaume zimegawanyika katika makundi mbalimbali ambayo ni :-
wenye sura nzito,sura kavu,sura chachu,sura ngumu, sura chungu na wachache sura telezi.
kwa anayefahamu zaidi naomba anisaidie kunielewesha kwani natamani kujua zaidi juu ya hizi sura za hawa wenzetu maana nimesikia sura zao hujengeka kutokana na tabia za mazoea kama ukali, ubabe,hasira n.k na kamwe hazihusiani na uumbaji wa Muumba.
hahaha....mwanaume asifiwi kwa sura na yawezekana president akawa na sura ngumu lakini mkarimu na mwenye mvuto wa ndani.nachotaka ni kujua tofauti tu ili nimpime na presidaa kabisa nijue.bytheway mida hiyo niliishiwa usingizi kabisaUnafanya nini hadi saa 2:23AM? Kwani President yuko kundi lipi?
Orite....ulikua unatafiti sura?
!.........NEVER TRUST A MAN EVEN A DEAD ONE........!
hahaha......hiyo haaingiliani kabisa na swali langu.kwanza kwani we sura yako ni ipi?kama unayafahamu haya nijuze tafwadhali
kama unajua wapo si ungeandika sredi tungeichangia.acha kutukana watu kama huna cha kujibu si lazima.kwani nimesema wanaume ni wabaya mpaka uwatukane wanawake wote.soma uelewe kuliko kukurupuka na kama umeguswa pole.Mbona kuna wanawake wanasura chachu,sura ngumu sura mbaya km ww unaesoma hap sshv ee ww ndio!
hiyo ikoje mkuu?natamani kuifahamuKuna sura ya mbuzi
usingizi ulimwisha ndo maana akaanza kuwaza sura nzito,ngumu sijui chachu kama ukwaju LoL
FL acha vituko
1ST lady unaoneje ukitupa quliities za shem kama yupo, labda ndo tuweze sema yeye yuko kundi gani ......
Hebu njoo pm basi.....kwani hii :thinking: ni sura gani kati ya ulizotaja?
wewe chaguo lako ni ipi?