Je, unaweza kumruhusu partner wako asome sms zako hivi?

thanks binamu na wewe uache kuchungulia simu ya wife

Hahaha! Mi huwa naichungulia kwa machale. Siku nikakuta msg imeandikwa mpenzi leo tutakutana pale pa jana tule sambusa? Kiroho kiliniuma. Kama kawa nikaikamata namba. Kuipiga kumbe namba iko kwenye fonibuku yangu, ni ya shemeji yangu, yaani mke wa braza kabisa! Hahaha! Wivu bana! Usijidanganye na majina yaliyoandikwa kwenye fonibuku za watu!
 
ahahahahha...dawa yako hiyo ungepata nirafiki yako yaani best friend yako ungefanyaje?
 
mie bwana mambo ya cmu yake cyatakagi kabisa, lakini yeye ana kiherehere na ya kwangu kweli....ipo cku yake.
 
ahahahahha...dawa yako hiyo ungepata nirafiki yako yaani best friend yako ungefanyaje?

Ningekuwa gereza la segerea mida hii, nasubiria signature ya Kikwete ili niwafuate wife na huyo rafiki yangu kuzimu.
 
Hahaha! Mi huwa naichungulia kwa machale. Siku nikakuta msg imeandikwa mpenzi leo tutakutana pale pa jana tule sambusa? Kiroho kiliniuma. Kama kawa nikaikamata namba. Kuipiga kumbe namba iko kwenye fonibuku yangu, ni ya shemeji yangu, yaani mke wa braza kabisa! Hahaha! Wivu bana! Usijidanganye na majina yaliyoandikwa kwenye fonibuku za watu!

hahahaha Binamu umenivunja mbavu zangu unachekesha wewe
napata picha baada ya kufuma msg hiyo BP ,caltex vyote vilipanda
 
Ikapanda mpaka maximum halafu ikashuka mpaka minimum. Cha ajabu sijakoma kuziperuzi akiisahamu foni yake. Hii tabia ni kama kupiga chabo au kula nyama ya mtu. Ukiianza huachi!
 
kusema la ukweli mie cpendi hiyo tabia, japo najiamini hakuna lolote baya lakini nadhani kila mtu awe busy na ya kwake, kuna cku kasoma msg iliyotuletea malumbano bila sababu, alivyokuja kuielewa tayari tumeshalumbana vya kutosha, nikadhani ndio itakuwa mwisho wake kumbe imekuwa mwanzo.
 
kusema la ukweli mie cpendi hiyo tabia, japo najiamini hakuna lolote baya lakini nadhani kila mtu awe busy na ya kwake, kuna cku kasoma msg iliyotuletea malumbano bila sababu, alivyokuja kuielewa tayari tumeshalumbana vya kutosha, nikadhani ndio itakuwa mwisho wake kumbe imekuwa mwanzo.[/QUOTE]

hahaha nyamayao una visa wewe
 
hapana mami, mie cmu yake inaweza kuwa hapo ikaiita weee mpaka bac, ctaki hata kuchungulia ni nani anamcal, lakini kama plan zake zilikuwa za kukaa home cku hiyo then cmu imbadilishe mawazo hiyo safari ataambatana na mie atake actake, vinginevyo tukae wote home.
 
mie nadhani ni vyema tu akasoma

please note :-kuna message huwa zinakosea njia lakini
Eeh, tatizo zikikwa nyingi sana ni issue nayo.Kwa upande mwingine mpenzi kusoma message kwangu its ok. Sina agenda ya siri anyway
 
wanasema ni vizuri kuchunga chako lkn isivuke mipaka,maana inatakiwa uangalie mwishilio wa jambo lenyewe,isije ikawa baadae suala hilo likakuweka ukawa mtumwa wa kimapenzi,hata bata ukimchunguza sana hutomla itabaki ukimtia dosari anakula matope huku watu wakifaidi nyama yama yake.
 
Simu ni chanzo cha migogoro mingi sana ya kimapenzi. Kuna wakati ni kweli watu wanakosa uaminifu. Lakini pia ni mara nyingi pia msomaji anatafsiri vibaya sms kwa sababu pengine hajui context ya hizo sms. Ni vizuri wapendandao mkakubalina kitu kama policy hivi kwenye matumizi ya simu.

Binafsi, baada ya matatizo kadhaa juu ya simu, tulikubaliana na mpenzi wangu kuwa simu lisiwe 'suala la muungano'! Sisemi hii ni policy nzuri kwa ndoa yoyote, lakini ni makubaliano ambayo sisi tuliyaridhia na tunayaheshimu. Mpaka leo bado tumo kwenye ndoa na hakuna malumbano yasiyo na msingi tena.
 
Simu ni chanzo cha migogoro mingi sana ya kimapenzi. Kuna wakati ni kweli watu wanakosa uaminifu.

Binafsi, baada ya matatizo kadhaa juu ya simu, tulikubaliana na mpenzi wangu kuwa simu lisiwe 'suala la muungano'! Sisemi hii ni policy nzuri kwa ndoa yoyote, lakini ni makubaliano ambayo sisi tuliyaridhia na tunayaheshimu. Mpaka leo bado tumo kwenye ndoa na hakuna malumbano yasiyo na msingi tena.

Hapo kwenye red umenichekesha sana sawa na muungano wa bara na zenji nini??

Kwenye blue mnaweza msiwe na malumbano lakini unaweza kuta unaliwa na we unakula nini bana tuelezee
 
Back
Top Bottom