Je unaweza kujua tabia ya mtu kwa kumuangalia usoni?

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
74,738
155,424
nimeona mara nyingi watu hawajawahi hata kuonana mara moja, lakini siku wakionana tu mmoja anaanza kumuona mwenzake ana ringa.
Au binti anampeleka mchumba kwao ili akajitambulishe, wazazi wanaanza kumsema kwa kilugha huyu mchumba wako mbona anaonekana mwizi.
Jamani Waswahili tuna kazi kwelikweli na vipimo vyetu vya macho
 
Kwa hii Avatar yako kama ni ya ukweli ni lazima waseme anaonekana mwizi kwani unasomeka hivyo.
 
  • Thanks
Reactions: 3D.
Hakuna kitu kisichowezekana BUJIBUJI, MBONA HATA SIGNATURE YAKO YA HANDWRITING NAWEZA KUICHUNGUZA NA NIKAJUA WEWE NI MTU WA NAMNA GANI. HII ELIMU IPO SANA NCHINI UHISPANIA KAKA.
 
nimeona mara nyingi watu hawajawahi hata kuonana mara moja, lakini siku wakionana tu mmoja anaanza kumuona mwenzake ana ringa.
Au binti anampeleka mchumba kwao ili akajitambulishe, wazazi wanaanza kumsema kwa kilugha huyu mchumba wako mbona anaonekana mwizi.
Jamani Waswahili tuna kazi kwelikweli na vipimo vyetu vya macho


It is true but it is more common sense than thinking socialogically. Zinaweza kufananishwa na myth or rituals kwani zamani watu walikuwa wanaona kwa kulazimishwa na wazazi ambapo kwa sasa inawshinda.
 
<br />
<br />
mbona hatuitumii?
Unajua watu wengi hasa waulaya wamevumbua vitu vingi sana hadi wanajaribu kuvi-re invent the already existing technologies so huchambua every aspect of our well being.
On the side of our african countries even we are failing to maintain this common things(the know-how) given by our mother nature, now for my reason above do you think we can use it right now?
unajua ujinga wetu unatufanya tuliwe na tuibiwe kirahisi sana. pia kuna watu wengi wanaujuzi mwingi ila huogopa kuutoa hadharani hasa ujuzi unaotumia invisible physics...
 
Kuna vitu vingi vinaweza kukupa viashiria vya tabia mfano:

1. Unavyoongea
2. Unavyokula chakula
3. Unavyoandika pamoja na staili ya mwandiko wako
4. Unavyomtazama mtu
5. Unavyosalimia
6. Muundo wa maneno yako
7. Unavyotoa heshima au kiwango cha heshima kwa wengine
8. Unavyotunza muda, heshima ya mtu, mali ya mtu na hata unavyojitunza heshima yako
9. Hobby mbalimbali

Yapo mengi kwa leo nimeyakumbuka haya...!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom