Je unaweza kufanya kazi na mwanamke ambaye ulimpenda au ulipendana naye>

fazaa

JF-Expert Member
May 20, 2009
2,984
1,026
Mimi sina ma EX katika maisha yangu lakini kuna mwanamke niliwahi kumpenda na sijawahi kumuambia nampenda, sasa nime move katika another section na na yeye ndo kawa kama team leader wetu, sa mara nyingi sana ana ni call niende ofisini kwake...afu nikiwa naongea naye mara nyingi sana ananirembulia macho, anauma uma mdomo wake au ashike kalamu awe anaizungurusha zungurusha mdomoni kwake pale naonge anaye, yani kuna ishara nyingi sana naona kama unautaka.

Mnasemaje wenzagu hapo ni kweli ana utaka au anataka kunizungua.

Ok swali la pili.

Kwa wale ambao mlikuwa mna ma EX....Can u work in the same office with ur EX.
 
Just don't think about it. Thinking makes you worry and worrying leads to depression. Just keep an eye out.
 
kwani nini kinazuia usifanye kazi na ex???....watu wanafanya kazi na wake zao seuse ex??
 
Hii ndo crisis nyingine ya taifa letu.........vijana suala la ethics linataka kuwa janga la kitaifa
 
Mimi sina ma EX katika maisha yangu lakini kuna mwanamke niliwahi kumpenda na sijawahi kumuambia nampenda, sasa nime move katika another section na na yeye ndo kawa kama team leader wetu, sa mara nyingi sana ana ni call niende ofisini kwake...afu nikiwa naongea naye mara nyingi sana ananirembulia macho, anauma uma mdomo wake au ashike kalamu awe anaizungurusha zungurusha mdomoni kwake pale naonge anaye, yani kuna ishara nyingi sana naona kama unautaka.

Mnasemaje wenzagu hapo ni kweli ana utaka au anataka kunizungua.

Ok swali la pili.

Kwa wale ambao mlikuwa mna ma EX....Can u work in the same office with ur EX.

Swali la kwanza: Huyo hakutaki bali anakupenda kama colleague wake..............

Swali la pili: Kwa mimi inawezekana sana, tena ikiwezekana awe ni bosi wangu, ningefurahi zaidi.....................
 
Hata mimi naona kabisa hanitaki kutokana na akli yangu inavyo sema, lakini huu moyo wangu nao shida unajipa hope eti ananipenda.

Si unajua tena sisi wenginge tunapenda kabla ya kutumia akili ndo mana mwanamke akisha kuchekea tu, unasema kakupenda :A S shade:
 
Back
Top Bottom