Je unaweka wapi mkono wakati umelala?

Hili swali si gumu kama mnavyodhani. Mtu akiwa amelala, kuna wakati mtu anashtuka au anapokaribia kuamka, kwa wakati huo ni rahisi kujua mkono/mikono ilipo kwani itakuwa imegusa sehemu husika.
 
Siko tayari kushare wangu!
Siko tayari kugawana upendo wako na mtu!

Yetate Naneee!!!
Kazi Kwei kwei.
Shikiza we Mgosi,
ushe,
Ntan'bidi ukunde na M'bwanga na Mndee M'n'mmoja du.

Afu N'ng'ande ikwe juu ya N'hmeza.
Tike wote tukale Prince wan'ngu.
 
Yetate Naneee!!!
Kazi Kwei kwei.
Shikiza we Mgosi,
ushe,
Ntan'bidi ukunde na M'bwanga na Mndee M'n'mmoja du.

Afu N'ng'ande ikwe juu ya N'hmeza.
Tike wote tukale Prince wan'ngu.

siko tayari kugawana upendo wako na mtu.
Tinkukunda
 
Yetate Naneee!!!
Kazi Kwei kwei.
Shikiza we Mgosi,
ushe,
Ntan'bidi ukunde na M'bwanga na Mndee M'n'mmoja du.

Afu N'ng'ande ikwe juu ya N'hmeza.
Tike wote tukale Prince wan'ngu.
wangu umeona ukate mawasiliano ila
siko tayari kugawana upendo wako na mtu.
 
Back
Top Bottom