Je, unawajua CROWN AGENTS?

Nina swali. Is it the top university simply because ina train intelligence officers wa U.K? Because the only justification I have read from you so far regarding it being the best university is because it trains a majority of MI6 officers. Ni swali tu.

Surely kwa nchi ndogo kama UK kuweza kuwa na influence dunia nzima is not just due to Fashion and design grads from Oxbride is it?

Hili huwezi kulijua mpaka utakapo oona organisations kama DFIDwalivyo na influence kwenye privatization na mambo kama ya radar...Tazama DTI officials walivyo bize kule Tashkent, the same applies to influence yao in Arab World, Asia and Africa..

Na ya nini mnaenda mbali? Tazamani kwa undani how CROWN AGENTS work ndio mtaelewa

Pick your subject, do your homework and ignore the media!
 
Kwa taarifa yako 95% wa intelligence officers wa MI6 ambao wako posted sehemu mbali mbali ambao wanafanya mpaka Industrial espionage wametokea SOAS..na ni jambo ambalo wenyewe hawapendi ndio maana kila kukicha gazeti la times uliloliquote linakuja na league tables kwa ajili ya consumption ya watu kama nyie..by the way this is the same ranking system which gave a very good rating to the university of Hull's maths department which no longer existed!!!

Ohh lakini usipate taabu kwa sababu hata kama umesoma historia ya SIS au MI5 ya UK ...

nitauktumia link ya documentary ya RADIO 4 inayoendela sasa hivi inazungumzia mambo haya ya intelligence

by the way kule kwenye thread ya JOHN LUSINGU tunakusubiri

GT

Haya ningependa kukubaliana na wewe kuwa sababu ya SOAS kuwa juu zaidi ya Oxbridge ni kuwa 95% ya makachero wa M16 wamesoma hapo.

Ila kabla sijakuamini 100% naomba uthibitisho wako, japo wa gazeti la udaku unaosema 95% ya makachero wa M16 wamesoma SOAS.

Ukinipatia huo uthibitisho (japo wa gazeti la udaku) mimi nitafanya utafiti wangu za ziada kuanzia hapo.

Kwa kukusaidia SOAS wenyewe wameweka hili kwenye tovuti yao

In 2008, SOAS jumped 15 places up to ninth best university nationwide in The Good University Guide, and we were rated fourth in London. We also moved three places up to eighth in The Guardian newspaper's league tables of top UK universities.

http://www.soas.ac.uk/about/

Ni dhahiri kuwa hata wao wanaheshimu list inayowekwa na magazeti kama The Times na Guardian etc. Kwa lugha nyingine ni kuwa hata wao SOAS wanakubali kuwa wana kazi ya kufanya ili kufikiwa kiwango cha LSE, UCL, Oxbridge, St Andrews etc.

Jisomee mwenyewe list kamili hapa....

http://www.guardian.co.uk/education/table/2009/may/12/university-league-table

Nakusubiri
 
GT

Haya ningependa kukubaliana na wewe kuwa sababu ya SOAS kuwa juu zaidi ya Oxbridge ni kuwa 95% ya makachero wa M16 wamesoma hapo.

Ila kabla sijakuamini 100% naomba uthibitisho wako, japo wa gazeti la udaku unaosema 95% ya makachero wa M16 wamesoma SOAS.

Ukinipatia huo uthibitisho (japo wa gazeti la udaku) mimi nitafanya utafiti wangu za ziada kuanzia hapo.

Geez - that is one poorly written polemic. It reads like it was written by a first year University student for the school newspaper.

Sorry to dissapoint you lakini sitokupa hizo sources za magazeti ya udaku kama unavyo demand ila nitakupa secondary sources zangu nazo ni vitabu vifuatavyo:

8908274.jpg

8638021.jpg

lakini kwa kukusaidia tuu nakuomba ununue vitabu vifuatavyo:

MI6: Fifty Years of Special Operations (stephen Doriil)

lakini ili kufikia huko naomba usome hiki kitabu:

10607468.jpg

Ni dhahiri kuwa hata wao wanaheshimu list inayowekwa na magazeti kama The Times na Guardian etc. Kwa lugha nyingine ni kuwa hata wao SOAS wanakubali kuwa wana kazi ya kufanya ili kufikiwa kiwango cha LSE, UCL, Oxbridge, St Andrews etc.

Jisomee mwenyewe list kamili hapa....

http://www.guardian.co.uk/education/table/2009/may/12/university-league-table

Nakusubiri

I guess you are geared to discuss University league tables zilizokuwa compiled na magazeti eeh? all i wanna tell you is when you manage to do 25+ essays on subjects a term with reading lists as long as your arm, stuffed with references that many academics at other institutions have never seen, often in your first year of study and marked by those whose academic merit often exceeds those at other institutions by quite a margin, your comments may be worthy of examination.Thats the life at SOAS lakini dont worry..nishasahau unataka mjadala wa university league tables

Ohh lastly ..waingereza after the fall of the empire knew kuwa they have to adapt to GEO-ECONOMICS and not GEO POLITICS ndio maana chini ya Lowassa mliwapa ma bilioni na hakuna mtu aliyeuliza kulikoni??
 
Last edited:
Geez - that is one poorly written polemic. It reads like it was written by a first year University student for the school newspaper.

Sorry to dissapoint you lakini sitokupa hizo sources za magazeti ya udaku kama unavyo demand ila nitakupa secondary sources zangu nazo ni vitabu vifuatavyo:

lakini kwa kukusaidia tuu nakuomba ununue vitabu vifuatavyo:

MI6: Fifty Years of Special Operations (stephen Doriil)

lakini ili kufikia huko naomba usome hiki kitabu:

I guess you are geared to discuss University league tables zilizokuwa compiled na magazeti eeh? all i wanna tell you is when you manage to do 25+ essays on subjects a term with reading lists as long as your arm, stuffed with references that many academics at other institutions have never seen, often in your first year of study and marked by those whose academic merit often exceeds those at other institutions by quite a margin, your comments may be worthy of examination.Thats the life at SOAS lakini dont worry..nishasahau unataka mjadala wa university league tables

Ohh lastly ..waingereza after the fall of the empire knew kuwa they have to adapt to GEO-ECONOMICS and not GEO POLITICS ndio maana chini ya Lowassa mliwapa ma bilioni na hakuna mtu aliyeuliza kulikoni??

Nilekusihi nipe line kwenye mojawapo ya hivyo vitabu inayothibitisha kuwa 95% ya walioajiriwa MI6 wamesoma SOAS. Badala yake unaniletea picha za vitabu ulivyo copy na kupaste kutoka online..!!

Kuhusu SOAS ni bora kuliko Oxford, Cambridge etc huna hoja zaidi ya bla bla...sikubaliani na wewe bila kuja na hard facts zinakazothibitisha.

Nawakilisha.
 
Hawa jamaa niliwaona BEST programme offices pale WaterFront 6th floor i think. I was told wanafanya professional services like procurement auditing forf that programme. Office yao ina wazungu na wabongo wachache. I really didnt know all about this; thanks to u SHY
 
9th december 1961: eti taifa linapata uhuru "dhidi" (against) ya ukoloni,hawa wakoloni si walikuja kwa targets? na nchi tajiri kama hii? huo uhuru unapewa tu bure bure? mapema kihivyo? kirahisirahisi tu namna hiyo bila hata ka-timbwili? waliona kua it's not big deal kuendelea kua hapa ku-waste resources instead ni profitable zaidi ku-control everything through (R.C.S) Remote Control Systems na ku-create vibaraka,agents and everything.Nothing special about the thread,ni mtazamo tu.
 
News
[h=1]Tanzania investigating barred UK firm's affiliate[/h]
world+bank.jpg
World Bank country director for Eritrea, Kenya, Rwanda and Somalia Johannes Zutt at a press conference. The Bank has strict procurement guidelines. Picture: File

The Tanzania government is investigating Crown Agents Services (Tanzania) Ltd, an affiliate of the UK-based Crown Agents for Overseas Governments and Administrations Ltd, after it was barred by the World Bank from operating in the country for six months for breach of procurement guidelines.
Crown Agents is an international development specialist that, in its own words, "works with leaders across the world to make profound changes to systems, organisations and society."
An official with Prevention and Combating of Corruption Bureau (PCCB) said the body was investigating the company in Tanzania after the UK Company and its affiliates were sanctioned under the World Bank fraud and corruption policy in October this year for six months over fraudulent practices in relation to a World Bank-executed project in 2006. The sanction also covers Crown Agent Services (Tanzania), which was incorporated in Tanzania in December 1979.
"Due to the fact that the firm is incorporated in Tanzania, PCCB needs to get some response over the allegations of fraud and corruption," said the official.

Read More from The East African
 
Na hao wabongo wachache unaowaona pale wana close associates ambao ni wazungu, kama sio kibabu kiboifrend basi ni shemeji kibabu. Kama kuna watu wanachakachua hizo hela za DANIDA through BEST program ni hawa! In the name of controlling, tunagawana umaskini!
Hawa jamaa niliwaona BEST programme offices pale WaterFront 6th floor i think. I was told wanafanya professional services like procurement auditing forf that programme. Office yao ina wazungu na wabongo wachache. I really didnt know all about this; thanks to u SHY
 
Personally this is a very bad news for me! Was getting engaged with the company soon! I have to rethink my decision!
News
Tanzania investigating barred UK firm's affiliate

world+bank.jpg
World Bank country director for Eritrea, Kenya, Rwanda and Somalia Johannes Zutt at a press conference. The Bank has strict procurement guidelines. Picture: File

The Tanzania government is investigating Crown Agents Services (Tanzania) Ltd, an affiliate of the UK-based Crown Agents for Overseas Governments and Administrations Ltd, after it was barred by the World Bank from operating in the country for six months for breach of procurement guidelines.
Crown Agents is an international development specialist that, in its own words, "works with leaders across the world to make profound changes to systems, organisations and society."
An official with Prevention and Combating of Corruption Bureau (PCCB) said the body was investigating the company in Tanzania after the UK Company and its affiliates were sanctioned under the World Bank fraud and corruption policy in October this year for six months over fraudulent practices in relation to a World Bank-executed project in 2006. The sanction also covers Crown Agent Services (Tanzania), which was incorporated in Tanzania in December 1979.
"Due to the fact that the firm is incorporated in Tanzania, PCCB needs to get some response over the allegations of fraud and corruption," said the official.

Read More from The East African
 
Sina hakika ya close associate, lakini mimi nilitafutwa na wao, based on merits! Ninaweza kusema yumkini wapo baadhi wana-close associate but wengine wanatafutwa kwa kuchunguzwa profile zao pia
Na hao wabongo wachache unaowaona pale wana close associates ambao ni wazungu, kama sio kibabu kiboifrend basi ni shemeji kibabu. Kama kuna watu wanachakachua hizo hela za DANIDA through BEST program ni hawa! In the name of controlling, tunagawana umaskini!
 
MKUU KAZII KWELI KWELI, NAPITA TU, MARA SOAS MARA M16. kwani uingereza kuna mashirika mangapi ya ujasusi.. M5? M16? SIS?...?
 
This thread so far has provided me with only one train of thought: Tanzania is being used big time and its people are fed lies which are justified with even more lies. How do we get out of this mess I wonder.
 
No way out, unless there is mercy from the whites. Otherwise we need to create and care our own system contrary to the dependency nature wer'e used to
 
Kama mko serious kupiga vita UFISADI then mbona hawa hamuwazungumzii? Mnaogopa? basi msiogope mkiulizwa semeni nynyi pia mmeicopy from post ya GT sawa?

anyway, website yao kuhusu Tanzania wanasema hivi:

Hawa bwana ukiwaingilia ni kama vile unaingialia biashara za CROWN ya HRH au HER ROYAL HIGHNESS lakini vile vile lazima uelewe walianza anzaje mpaka leo unakuta wanaweza kuiambia serikali yoyote iliyotawaliwa na BRITISH cha kufanya na wakafanyiwa bila maswali and of course that includes the UNITED REPUBLIC OF TANZANIA

Huwezi kuwazungumzia hawa jamaa bila kumkuta BILLIONAIRE Edmond Safra, HUWEZI KUZUNGUMZIA crown agents bila kuwazungumzia organisations zifuatazo:
Prince of Wales Business Leaders Forum

Aga Khan Foundation

School of Oriental and and African Studies
(the best university in the world....sababu nitawapa baadae lakini its far far ahead of Oxford and Cambridge, Harvard, MIT, Yale etc)

Christian Aid (hawa wapo sana hapa Tanzania lakini wamejazana majasusi tuu)

Barclays Bank
(sina sababu ya kuelezea saana hii in the wake or RADAR SCANDAL)

Standard and Chartered Bank
(Need i say more?)

Unilever, (hawa ni major agricultural products cartel. Like Shell Oil, the company is Anglo-Dutch na connections zaidi zinaweza kuwafanya watu kadhaa serikalini kufadhaika kwa sababu ambazo mnazijua)

Tate and Lyle, (Hawa ndio Britain's leading sugar cartel, ambao wana close corporate links American firm inayoitwa Archer Daniels Midland.

Sasa hawa Tate and Lyle and ADM walishawahi kuwa under investigation
U.S. Department of Justice for illegal monopoly practices na nakumbuka matop kadhaa wa ADM walikuwa indicted-connection na Tanzania? Tazama Ilovo walivyoshinda na kumonopolise mashamba ya miwa WHICH INCLUDES mtibwa sugar...

Securicor plc
...nadhani mnawajuwa hawa

Sasa leo TUKURU au PCCB wanataka ku-investigate UFISADI sidhani kama watafika mbali kwani haiwezekani na kila kitu kimejikita ile mbaya saa zingine bora tukatazame YANGA wanavyocheza na kurudi majumbani mwetu maaana haya mambo ya kudanganyana eti tutakula sahani moja na mafisadi hatuwezi kwani interconnectedness ya wahusika ni kubwa mno ...

thankx alot GT! mi ni mara ya kwnza kuingia humu JF! Na nimezidi kuthibitisha nliyokua naskia! so wa-TZ tutatoka vp maana hawa jamaa huwa hawana kuridhika! so whoever rules this country hali itaendlea kuwa mbaya
 
Back
Top Bottom