Je unawafahamu hawa oxride co. Limited?

Mr. Masasi

Member
May 12, 2011
53
4
Wameita watu kwenye usaili wa kazi ambazo walikuwa wametangaza hapa wilaya Nzega mkoani Tabora. Lakn cha ajabu wametoa namba ya voda ambayo wanataka walushiwe mpesa ya shiling elfu kumi eti kwa ajili ya kuandaa vitambulisho na paspot siku ya usail uwe na sms hyo ya mpesa inayoonesha malipo ya mpesa pamoja na vyeti halisi. Cha ajabu kwa hapa hawana ofisi na hatujui wanajishughulisha na nini ila wao wanadai ni kampun mpya kwa hapa Tanzania makuu yako mlimani city first floor block 2. Kingine maombi yalikuwa yakitumwa kwa sms kwa kuandika majina, mahal unapoish, nafasi ya kazi uliyoomba kwena 0753263459. Naomba msada wenu kama m2 anaifahamu hii kampuni wasije wakapora elfu kumi za watu kibao harafu hakuna kampun km hyo hapa tz.
 
Waambie wakukate kwenye mshahara wako wa kwanza watakapokuwa wamekuajiri, kwa sasa huna kazi na hivyo pesa.
 
Yaani ukiwa unatafuta kazi unatakiwa kuwa makini sana sana kwani hzo mbinu wanatumia wajanja wengi kuishi mjini kwa stahili hiyo na baada ya kutuma hizo hela zenu namba haitapatikana tena.
 
Tuma pesa zaidi ya kiwango ulichonacho kwenye akaunti yako ya m pesa na utapata sms kama kawaida kuwa hauna salio la kutosha kutuma kwa fulani na hapo utamutambua mwenye hiyo namba ya simu ya kitapeli halafu ripoti polisi.Hao ni matapeli
 
majambazi wakubwa hawa hata hapa Ngara walitoa matangazo km hayo namba zao hazijasajiliwa hata mamlaka ya mawasiliano. Kweli tutaibiwa sana!
 
hao ni wezi,, jna lenyewe tu duh! eti OXRIDE wanaendesha ng'ombe au?
 
Wameita watu kwenye usaili wa kazi ambazo walikuwa wametangaza hapa wilaya Nzega mkoani Tabora. Lakn cha ajabu wametoa namba ya voda ambayo wanataka walushiwe mpesa ya shiling elfu kumi eti kwa ajili ya kuandaa vitambulisho na paspot siku ya usail uwe na sms hyo ya mpesa inayoonesha malipo ya mpesa pamoja na vyeti halisi. Cha ajabu kwa hapa hawana ofisi na hatujui wanajishughulisha na nini ila wao wanadai ni kampun mpya kwa hapa Tanzania makuu yako mlimani city first floor block 2. Kingine maombi yalikuwa yakitumwa kwa sms kwa kuandika majina, mahal unapoish, nafasi ya kazi uliyoomba kwena 0753263459. Naomba msada wenu kama m2 anaifahamu hii kampuni wasije wakapora elfu kumi za watu kibao harafu hakuna kampun km hyo hapa tz.

Swali lako linaonesha jinsi usivyo na ubongo wa kufikiri. Hivi unahitaji kufikiri juu ya haya mpaka uulize hapa:
1. Hatuhitaji passport kwenda sehemu yeyote ndani ya nchi yetu.
2. Huwezi kutuma maombi kama hujui muajiri anafanya kazi gani (unless unatafuta matatizo)
3. Jengo lisilo la gorofa halitambuliwi kwa floor

Kama huwezi kuyatambua haya bila kuuliza hapa, basi hata ajira haikufai. Ni kazi gani utafanya kama hujui matumizi ya passport?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom