Je Unatofauti gani Kikwete akiwepo nchi au asiwepo?

Mwanaitelejensi

Senior Member
Jan 30, 2011
104
2
Naomba muongozo watanzania wenzangu kuuliza kuwa kunautafauti gani Kikwete akiwa nchini au asiwepo, kuna baadhi ya watu nimewasikia wakisema ni bora akisafiri asirudi tena akae hukohuko mpaka 2015 akiwepo asiwepo wanasema hakuna tofauti yoyote na wengine wamediriki kusema ni bora akiwa nje ufisadi unapungua Ikulu kukiko akiwepo. Sasa watanzania wenzangu nauliza Je huyu Kikwete anamanufaa gani kwa Taifa ikiwa Watanzania hawamtaki kwa kuombea bora akaye Nje kuliko akiwa nchi?
 
kwani wewe unaonaje? akiwepo au akisafiri huwa kuna tofauti?
 
Kuna tofauti kubwa.

Anapokuwepo dili za ufisadi ikulu zinashamiri na zinasainiwa fastafasta

Asipokuwepo mafisadi kidogo huchelewa kwa kuisubiri signature yake kwa hiyo bora asiwepo nchini kwa manufaa ya nchi.
 
Naomba muongozo watanzania wenzangu kuuliza kuwa kunautafauti gani Kikwete akiwa nchini au asiwepo, kuna baadhi ya watu nimewasikia wakisema ni bora akisafiri asirudi tena akae hukohuko mpaka 2015 akiwepo asiwepo wanasema hakuna tofauti yoyote na wengine wamediriki kusema ni bora akiwa nje ufisadi unapungua Ikulu kukiko akiwepo. Sasa watanzania wenzangu nauliza Je huyu Kikwete anamanufaa gani kwa Taifa ikiwa Watanzania hawamtaki kwa kuombea bora akaye Nje kuliko akiwa nchi?
kwa upande wangu tofauti ipo kubwa sana, anapokuwa nje kichwa hakiniumi saana kama akiwa yupo nchini na aongee PUMBA ZAKE!
 
kwani wewe unaonaje? akiwepo au akisafiri huwa kuna tofauti?

Asipokuwapo Nchi nafikiria kama Ufisadi unapungua hasa kwenye Mikataba feki na nchi inakuwa na Amani kwa kuwa hakuna maneno ya kejeli anayoyato kwa Watanzania na uongo unapungua nchini:wink2:
 
tofauti ipo,.asipokuwepo,al adawi suleiman anakuja,gongo la mboto wanazika wafu,mitambo ya dowans inawashwa,dr slaa anakamatwa na polisi,..akiwepo anawaita tbc1 na kuanza kusoma na kulia kuwa chadema wanapendwa sana na watu hivyo wanataka kumpindua,..
 
Naomba muongozo watanzania wenzangu kuuliza kuwa kunautafauti gani Kikwete akiwa nchini au asiwepo, kuna baadhi ya watu nimewasikia wakisema ni bora akisafiri asirudi tena akae hukohuko mpaka 2015 akiwepo asiwepo wanasema hakuna tofauti yoyote na wengine wamediriki kusema ni bora akiwa nje ufisadi unapungua Ikulu kukiko akiwepo. Sasa watanzania wenzangu nauliza Je huyu Kikwete anamanufaa gani kwa Taifa ikiwa Watanzania hawamtaki kwa kuombea bora akaye Nje kuliko akiwa nchi?

Acha ukilaza wewe na kuwa mvivu wa kifikra na kimawazo nenda kasome KATIBA KILA KITU KIKO WAZI
 
Hivi anaanza lini ziara za mikoani? Miaka mi5 iliyopita alikuwa akitoka mtoni anaenda mkoani, hasa Mwanza... Lakini siku 100 zimepita hatujamuona Ng'wanza.
 
Bora abak hukohuko maana akiwepo bongo misafara yake icyo na ratba huwa inanyosha kutokana na kuunda 4len kila anapotaka kwenda kuzurura. Mkwere anaboa jamani.... Hata speech zake znaboa c kdogo.
 
Acha ukilaza wewe na kuwa mvivu wa kifikra na kimawazo nenda kasome KATIBA KILA KITU KIKO WAZI

Nitafurahi sana Ukimpa mawazo hayo Kikwete, yeye ndio mvivu wa kufikiria kama angekuwa anafikiria Tusingefika hapa tulipo nchi haina Umeme, Ajira, Maji na mengine malizia wewe Kilaza. Ka mwambie Kilaza wako asome Katiba kazi kuteua wakuu wa kata hata wengine hawana sifa au umeshahaidiwa ukuu wa Wilaya ndio unaniambia kwenda kusoma Katiba unayowabebeni? Sina muda wakusoma hiyo Katiba imesha-Expired longtime ndio maana tunataka Mpya
 
Heri awe hayupo traffic jam hupungua. Safari zake na misafara ya Chalinze Msoga hutukera sana
 
Back
Top Bottom