Je unatamani kuona nini kabla hujafa?

Sumbalawinyo

JF-Expert Member
Sep 22, 2009
1,282
247
Natamani nione Chadema inaingia ikulu.
Natamani Wasira azae na mama Mkapa
Natamani Rizwani afilisiwe
Natamani Mkapa apandishwe kizimbani kwa uhujumu uchumi na mauaji ya Nyerere
Natamani Kikwete apandishwe kwenye mahakama ya The Hague kwa uuaji na utesaji wa raia.
Hebu na wewe weka matamanio yako
 
natamani kuwa kwenye threesome ya MFF
natamani kuona mechi ya finali ya kombe la dunia
natamani kuona mwisho wa dunia utakiwaje
natamani kuina tz inayoruhusu changudoa kufanya biashara kihalali na kulipa kodi
natamani kuiona taifa stars ikeshiriki kombe la dunia
 
Natamani niwe na shule ya mimi pia niwe na eka kama mia za kumiliki mie.
 
Natamani zanzibar tuachiwe tupumuwe
natamani zanzibar iwe huru kutoka kwenye ukoloni wakitanganyika
iwe na mamlaka kamili ya kitaifa na kimataifa
zanzibar iwe na kiti chake umoja wa kimataifa
natamani mashekhe wetu waachiwe na waendelee kufanya harakati za ukombozi wa zanzibar
natamani rais sheni apandishwe the heague ahukumiwe kwa kosa la mauaji ya raia wake.
Natamani watanganyika nao wawe na imani na zanzibar ili ijitoe kwenye ukoloni wao.
 
Natamani dunia ifike mwisho,tujue kuna mungu au hamna maana tunakorogana sana na hizi dini nataman kabla sijafa each of my kid awe amefika elimu ya chuo kikuu na nimemwandalia pakuanzia maisha, natamani hilo daraja la kigamboni limalizike nione swagga zitakazoendelea
natamani kumuona mtoa mada maana humu jf tunaogopana kuonana live utasema tunauza madawa ya kulevya
 
Natamani zanzibar tuachiwe tupumuwe
natamani zanzibar iwe huru kutoka kwenye ukoloni wakitanganyika
iwe na mamlaka kamili ya kitaifa na kimataifa
zanzibar iwe na kiti chake umoja wa kimataifa
natamani mashekhe wetu waachiwe na waendelee kufanya harakati za ukombozi wa zanzibar
natamani rais sheni apandishwe the heague ahukumiwe kwa kosa la mauaji ya raia wake.
Natamani watanganyika nao wawe na imani na zanzibar ili ijitoe kwenye ukoloni wao.

Hii mistress mbona yana kwao? Hebu yapelekeni yanapostahili.
 
Natamani nikampe mkono bingwa wa zamani wa uzito wa juu duniani MOHAMMED ALI

Ali boumayeeeeee!!!!
 
ningependa mods wa JF wote picha zao za kweli ziwekwe humu ndani tuwafahamu vizuri wanaotupiga ban ni akina nani hao tuanze kuwatafuta mtaani :biggrin1:
 
Natamani siku moja humu JF nafasi y Paw ashike Nchemba, ya Buchanan apewe Nape, ya Invisible apewe Le Mutuz, na ya Roullette achukue Lusinde, kwa siku mbili tu afu zirudi kwa wenyewe!!!
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: Paw
Back
Top Bottom