Je unataka juwa inbox ya mpenzi wako

Salaam tena wana forum.
Jamani naomba watu ambao amna shida na hii service naomba msichafue hii post waacheni watu wenye shida wasaidiwe!
Jamani wana forums be seriously!
tsk tsk !!! watakutafuta wenye shida hiyo, tehe tehe
 
Salaam wana forum!

Kutokana na email nyingi nazo zipata nimeamuwa kurusha na kuweka bayana kwenye safu hii.

Kwa wale watu ambao mnataka kujuwa email passwords za yahoo,hotmail,gmail,excite ...etc za boyfriends na girlfriends wenu tunawasaidia.

Baba au mama unataka kujuwa nini watoto wanafanya kwenye computer wakati wakiwa wenyewe,tutakusaidia na softwares.

Feel free to contact me in private.

kakaaaaa...mie nataka...unajuwa mapenzi bwana bila surprise sio mapenzi....inabidi mama ajue kweli ww ni supaman wake...hadi inbox yake wewe unaingia na kunyetishia aliyonayo...full ma sapuraiziiii....

kaka nipe mpango mzima....hii pia itanisaidia maana ninako ka-bi mdogo kamoja kati ya hawa masista duu wanaoongeza 90% kizungu...10% kiswahili cha kuokoteleza na kwa taaabu sana...kikiunganishwa na you know...nyiiingi...i need to get in her closets.

..ahahaha... ni maoni tu wadau...finito
 
Wewe kwa kiingereza unaitwa HACKER sasa unakuwa internet hacker na soon you will be mobile phone hacker watu wanaoweza kuaaccess passwords za watu au information without their consent and its not right. Kwa nchi za wenzetu ungechukuliwa hatua kwa sababu unainvade privacy ya mtu through hacking. Nakuomba uache try something else which will be useful than indulge yourself in other peoples business plus hao unaotaka wajoin your clique its not right.

mbona ushaanza kuogopa mapema? una siri gani. huyu mtaalam alete za simu fasta ndipo wenza watakuwa na adabu na matumizi ya hivyo vitu
 
Salaam wana forum!

Kutokana na email nyingi nazo zipata nimeamuwa kurusha na kuweka bayana kwenye safu hii.

Kwa wale watu ambao mnataka kujuwa email passwords za yahoo,hotmail,gmail,excite ...etc za boyfriends na girlfriends wenu tunawasaidia.

Baba au mama unataka kujuwa nini watoto wanafanya kwenye computer wakati wakiwa wenyewe,tutakusaidia na softwares.

Feel free to contact me in private.

acha kudanganya watu, unajua hilo ni kosa la jinai, we jitangaze tu nyie ndo mnaotafutwa - unataka kuleta mfalakano katika jamii

unavyojitangaza utafikiri wale wanaotangaza " dawa ya kumvuta mpenzi" its too local.

utakamatwa wewe acha mambo yako ya ajabu kuleta hapa.
 
kakaaaaa...mie nataka...unajuwa mapenzi bwana bila surprise sio mapenzi....inabidi mama ajue kweli ww ni supaman wake...hadi inbox yake wewe unaingia na kunyetishia aliyonayo...full ma sapuraiziiii....

kaka nipe mpango mzima....hii pia itanisaidia maana ninako ka-bi mdogo kamoja kati ya hawa masista duu wanaoongeza 90% kizungu...10% kiswahili cha kuokoteleza na kwa taaabu sana...kikiunganishwa na you know...nyiiingi...i need to get in her closets.

..ahahaha... ni maoni tu wadau...finito

Usimsifie, this is nothing special - by the way its illegal to do that. Kufanya hivyo ni sawa tu na kuchukua simu ya mtu ukaanza kuangalia inbox yake, that is rubbish thing that you never do kama mtu una akili sawasawa.

stop this crup....eti kuangalia private life ya mtu my ....
 
mbona ushaanza kuogopa mapema? una siri gani. huyu mtaalam alete za simu fasta ndipo wenza watakuwa na adabu na matumizi ya hivyo vitu

mtaalam......u need to get something to do guys.
 
Back
Top Bottom