Je unatafuta Rafiki au Mchumba?

Kama wachumba wenyewe ndio wamejazia kama huyo hapo mie naomba kutoa jina
OTIS
 
Tatizo wengi wameweka picha sia zao na wengine wameweka picha za vikaragosi/vibonzo/wanyama......kaazi kweli kweli
 
Acheni mambo ya ajabu nyie watoto, hivi mchumba anapatikana kwenye masoko namna hiyo?

Sema kama unatafuta kiruka njia wa kuruka naye mitaani wakati unatafuta ukimwi
 
ila kujuana muhimu sababu tunaona matukio mengi ya ndoa kwa wana ndoa kushindwa kuvumiliana baadhi ya mambo.
 
Hv wachumba wameisha mazngra uliyopo ama utakua na mapungufu yko bnafs
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom