Patriote
JF-Expert Member
- Jul 13, 2011
- 1,718
- 1,047
Mbona umemjazia hivyo???JK hana sifa za kiongozi bora yeye ni mtawala.nampa zote 100%, sioni alipokosea.
Mbona umemjazia hivyo???JK hana sifa za kiongozi bora yeye ni mtawala.nampa zote 100%, sioni alipokosea.
99.9%, naacha 0.1 atuwashie umeme tu. Hayo ni maoni yangu tu.
Nampa 20%
Hivi huyu mtu yupo?wajumbe, tumpime raisi wetu kiasi gani anakubalika kwa kumpa asilimia za ufanisi wake tangu aingie madarakani 2005 kulingana na mtazamo binafsi wa kila mjumbe, hii naona itamsaidia kuboresha zaidi utendaji wake na kurekebisha mapungufu fulani ambayo tunayaona wazi wazi ktk utawala wake.
Nyie CDM mlitakiwa mtu kama Nyerere, Kikwete anawaendekeza sana.Mimi simpi % yeyote ni kumfutia mtihani kabisa na discontinuity.Ni sawa na mwanafunzi aliyekamatwa na majibu chumba cha mtihani.Unachofanya ni kumfutia mtihani na sio kumpa marks.Huyu jamaa hivyo hivyo,ktk kipindi chake ni sawa na kuingia na majibu chumba cha mtihani an msimamizi akakufuma.Hajafanya kitu chochote.Wananch wanhitaji maisha bora na sio uhuru wa vyombo vya habari,je watakula TV,Magazeti,Radio?