Je unakumbuka nini miaka ya 80’s na 90’s.

nakumbuka wachaga walikua wakisafiri kwenda daresalama wakiwa wamebeba MAKUKURUau UKETO so ikifika nusu njia kwanaanza kutafuna basi arufu gari zima
 
viatu vinaitwa-dh
chupi za v.i.p kwa males
chupi za taiwan 4 females
magagulo,mabalongo,kaniki,sabun ya mbunju,foma,kipindi cha mama na mwana, baiskel za swala,maduka ya rtc,mafuta ya rays,ashanti,ndala za umoja,sky way,kito,
du hayo mafuta ya ashanti yalipata umaarufu kulikuwa na fundi cherehani aliitwa maumba alikuwa anayatumia kuwapaka watoto na kuwaingilia kinyume du siku kweli hazigandi
 
Back
Top Bottom