Je unajua kuwa 90% ya wanawake wanapo funga ndoa huwa hawana uhakika kama huyo ndio mume sahihi....

The Industry

Senior Member
Sep 1, 2012
114
29
Siri hii nimeipata baada ya kuzungumza vizuri na wakina dada baadhi ninaoelewana nao sana....so mlio oa kuweni makini na watu wenu!!!
 
"Mume sahihi" ni njozi njema ya kufikirika lakini isiyoyumkinika.

Hata wenye kuolewa na "mume sahihi" hawajijui.

Ushawahi kujua kwamba "hili ndilo chungwa tamu kuliko yote katika maisha yangu"?
 
"Mume sahihi" ni njozi njema ya kufikirika lakini isiyoyumkinika.

Hata wenye kuolewa na "mume sahihi" hawajijui.

Ushawahi kujua kwamba "hili ndilo chungwa tamu kuliko yote katika maisha yangu"?

I thought you would question the 90%...
 
Utafiti please source na wapi ulifanyia utafiti wako bila kusahau namba aina ya maswali uliyouliza umri na vitu kama hivyo.
 
kwanini post zako zote zina negativity kuhusiana na wanawake?kisaikolojia una tatizo!ukibisha itakuwa ni tabia tu!
 
Ina maana wanaume wanakuwa na uhakika 100% kuwa wameoa wake sahihi?. Hata hivo nina mashaka na research yako,ipo biased na sio scientific. Acha kupotosha jamii
 
Hao wanawake uliowahoji umri gani? Maana kuna umri ukifika some of women wanakua desperate na ndoa.
 
sawa kabisa....mtu atakuwaje na uhakika wakati ana ma-ex kama 6 hivi na kila mmoja ana uzuri wake.
 
"Mume sahihi" ni njozi njema ya kufikirika lakini isiyoyumkinika.

Hata wenye kuolewa na "mume sahihi" hawajijui.

Ushawahi kujua kwamba "hili ndilo chungwa tamu kuliko yote katika maisha yangu"?

Excellent point there Mkuu,
But you can know that this is the best(if by sweet you mean best, because of course sugar is harmful to others) Orange if you ask the maker....
Or rather it may never matter if you have the sweetest orange as long as it is sweet enough for you
 
Nakubaliana na mtoa mada kwa 70%. Inakuwa hivyo kwa sababu ya disappointment ambazo wasichana wanakutana nazo. Hasa pale inapotokea mtu wake ambaye alimpenda kwa dhati na aliamini kuwa ndie atakuwa mume wake lakini badala yake akaja kumtosa. Hivyo inafika mahali msichana anaamua kuolewa nayule ambaye ameonesha interest kwake hata kama hana uhakika kama atakuja kuwa mume bora ili mradi afikie ndoto zake za kuolewa na kuwa na familia.
 
ngoja tusubiri sensa itoe majibu....kwenye dodoso refu kuna maswali ,umeoa/olewa/mmeachana/mmetengana.
 
Back
Top Bottom