JE, UNAIPENDA TANZANIA? njoo uungane nasi mkutano wa CHADEMA Milton keynes 15/09/2012

Chilisosi

JF-Expert Member
Oct 19, 2008
3,051
747
[h=3]Mkutano Wa Chadema Milton Keynes - Je Unaipenda Tanzania?[/h]


JE, UNAIPENDA TANZANIA? KAMA JIBU NI NDIYO, BASI NJOO UUNGANE NASI MILTON KEYNES
NETHERFIELD MEETING PLACE, FARNBOROUGH NETHERFIELD MK6 4JB kuanzia saa kumi jioni mpaka saa tatu usiku

CCM ni injini iliyochoka sana na iko beyond repair, we can only use it as a scrap metal.
Inabidi tufunge injini mpya kabisa inayoitwa CHADEMA kwenye gari letu Tanzania



 
Kila la kheri makamanda, sisi wengine hatuna namna ya kuhudhuria physically, lakini spiritually, tup pamoja.
Pipoooooooooooooooooooooooozz............Pawaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!
 
Wenzenu nao wameamka SASA, Nasikia wanaenda kufungua TAWI Leicester, Kumbe wanaogopa Chadema eeeh!
 
Wenzenu nao wameamka SASA, Nasikia wanaenda kufungua TAWI Leicester, Kumbe wanaogopa Chadema eeeh!

Hata wafanye nini mkuu hawataweza kamwe kushindana na sauti ya umma ambayo ni sauti ya Mungu,angalia anavyoendelea kuwaumbua kwenye mauaji yao haswa kifo cha mwandishi kamanda Mwangosi.
 
Hata wafanye nini mkuu hawataweza kamwe kushindana na sauti ya umma ambayo ni sauti ya Mungu,angalia anavyoendelea kuwaumbua kwenye mauaji yao haswa kifo cha mwandishi kamanda Mwangosi.

Kwa kwelli Ccm sizani Kama watafika 2014, mie nina wasiwasi mukulu anaweza kukubali yaishe
 
"Sisi sote ni ndugu, tatizo ni CCM" ...................... hii ni kali.
Cha moto ukiangalia reality utagundua kuwa huu msemo ni kweli
Kama sio ccm waisilamu wasingekuwa wanaaandamana
kama sio ccm uamsho wasingechoma makanisa
kama sio ccm watu waingekuwa wnauawa
kama sio ccm tusingekimbia nchi yetu tuishi ugeninmi
kama sio ccm ditto asingeua dereva wa daladala live
kama sio ccm rage asingepanda na bastola jukwaaani
kama sio ccm viwanda visingekufa
kama sio ccm tungekuwa ,oja ya mataifa tajiri dunianai
FIGURE IT YOUSELF
 
Back
Top Bottom