Je unaijua dose sahihi ya dawa mseto (AL)?

Red Giant

JF-Expert Member
Mar 9, 2012
15,658
20,889
nimewahi yumia dawa hii na kupata madhara kumbe nilikosea maelekezo, maelekezo sahihi ni haya
kumbuka kwamba dose moja kwa mtu mzima ni vidonge 4 na anatumia jumla ya dose sita yaani vidonge 24
anza muda wowote kunywa dose ya kwanza kisha subiri masaa nane na unywe dose ya pili (hakikisha masaa nane kweli) baada ya hapo subiri masaa 16 ndio unywe dose ya tatu, toka hapo hesabu masaa12 unywe ya nne, 12 tena kunywa ya tano na 12 mengine unywe ya sita.

mfano: ukinywa dose ya kwanza saa 12 asubuhi basi dose ya pili utakunywa saa nane mchana , kutoka hapo dose ya tatu utakunywa kesho yake saa 12 asubuhi, ya nne saa 12 jioni ya tano saa 12 asubuhi na ya sita saa 12 jioni. utatumia jumla ya siku tatu.

Good evening
 
nimewahi yumia dawa hii na kupata madhara kumbe nilikosea maelekezo, maelekezo sahihi ni haya
kumbuka kwamba dose moja kwa mtu mzima ni vidonge 4 na anatumia jumla ya dose sita yaani vidonge 24
anza muda wowote kunywa dose ya kwanza kisha subiri masaa nane na unywe dose ya pili (hakikisha masaa nane kweli) baada ya hapo subiri masaa 16 ndio unywe dose ya tatu, toka hapo hesabu masaa12 unywe ya nne, 12 tena kunywa ya tano na 12 mengine unywe ya sita.
Mfano: Ukinywa dose ya kwanza saa 12 asubuhi basi dose ya pili utakunywa saa nane mchana , kutoka hapo dose ya tatu utakunywa kesho yake saa 12 asubuhi, ya nne saa 12 jioni ya tano saa 12 asubuhi na ya sita saa 12 jioni. Utatumia jumla ya siku tatu. Good evening
kibuyu rudia tena
 
mkuu ni hivi ukipiga dozi ya kwanza unsubiri masaa 8 kisha unapiga ya pili upo? kutoka dozi ya pili unahesabu masaa 16 ndio unapiga dozi ya tatu, yaani dozi ya tatu unapiga masaa 24 kutoka dozi ya kwanza upo? baada ya dozi ya tatu zinazo fuata ya 4,5 na 6 unakuwa unakunywa kwa interval ya masaa kumi na mbili. kama bado usisite kuuliza
 
nimewahi yumia dawa hii na kupata madhara kumbe nilikosea maelekezo, maelekezo sahihi ni haya
kumbuka kwamba dose moja kwa mtu mzima ni vidonge 4 na anatumia jumla ya dose sita yaani vidonge 24
anza muda wowote kunywa dose ya kwanza kisha subiri masaa nane na unywe dose ya pili (hakikisha masaa nane kweli) baada ya hapo subiri masaa 16 ndio unywe dose ya tatu, toka hapo hesabu masaa12 unywe ya nne, 12 tena kunywa ya tano na 12 mengine unywe ya sita.
mfano: ukinywa dose ya kwanza saa 12 asubuhi basi dose ya pili utakunywa saa nane mchana , kutoka hapo dose ya tatu utakunywa kesho yake saa 12 asubuhi, ya nne saa 12 jioni ya tano saa 12 asubuhi na ya sita saa 12 jioni. utatumia jumla ya siku tatu. good evening
Kuna dk kaniambia leo, nimeshangaa. Ndo nimeingia google kupata ukweli
 
Back
Top Bottom