Je unahitaji ulinzi au walinzi????

Echolima

JF-Expert Member
Oct 28, 2007
3,826
2,057
Kama ndiyo kampuni ya ulinzi ya KALU SECURTY inaouwezo wa kutoa huduma hiyo kwako tunatoa huduma ya ulinzi kwenye Makampuni mbali-mbali,shule,maofisi,na sehemu mbali-mbali utakazotuhitaji kulinda.
Tuna walinzi waliopewa mafunzo vizuri sana pia walinzi wetu wana vifaa vizuri vya kutendea kazi na kwa upande wa mawasiliano tunazo Radio-call kwa kila lindo
KALU SECURITY GUARDS LTD omesajiriwa rasmi Dar-es-salaam na tuna tawi wilaya ya Kahama,shinyanga.
Kwa mawasiliano zaidi 0754-415306 au 0787-415306
 
IMG_0582.JPG
Hao ni baadhi ya askari wetu,pia bodyguard tunao
Kama unahitaji huduma hiyo tuwasiliane tutakufikia popote
hapa Tanzania
 
Back
Top Bottom