Je unahitaji Training DVD za kujifunza kutumia computer au program bila kwenda darasani?

Michael Amon

JF-Expert Member
Dec 22, 2008
8,775
3,610
Habari njema kwa watanzania wote. Kampuni ya Young Master Supplies & General Enterprises inakuletea training DVD ambazo zitakuwezesha wewe Mtanzania kuweza kujifunza kutumia computer au program yoyote ukiwa nyumbani kwako au ofisini na kukufanya wewe kuwa mtaalamu wa kutumia computer au program husika bila ya kuwa na haja ya kwenda darasani.

Training DVD hizo zimeandaliwa kwa umakini mkubwa na wataalamu waliobobea katika fani ya computer na kutengenezwa na makampuni maarafu duniani yanayoongoza kwa kutoa mafunzo online.

Tunazo training DVD mbali mbali zitakazo kuwezesha wewe kuweza kujifunza kutumia computer au software flani. Eg: Introduction to computer, Microsoft Office 2003/2007/2010, Networking, Adobe, PC repair and meaintenance, web designing, Graphics designing n.k. Training DVD zote zinapatikana kwa bei nafuu kabisa ya sh.10,000/= kwa training DVD moja na utaletewa training DVD hiyo popote ulipo ndani ya siku saba baada ya kutoa order. Kwa wale ambao wapo nje ya jiji la Arusha itabidi kutoa malipo ya ziada kwa ajili ya gharama za usafirishaji na gharama hizo zitategemea na mahali ulipo.

Kwa order au maelezo zaidi tafadhali wasiliana nasi kupitia anwani zilizopo hapo chini.

Contacts:
Mobile: +255789 884 221
E-mail: youngmasterent@gmail.com
 
how much secure my money iz with your transactions? hasa kwa watu wa mikoani.
 
mwenzenu kaongea biashara mnaanza kufikiria ki unegative hii ndio tabu yenu nyie wabongo wa tz na wenzenu wengi.

badala ya kumuuliza maswali awape majibu mnaanza kumwita mwizi kwa misingi ipi?

ulizeni awape majibu then muulizeni au mucomment

warudisha maendeleo nyuma nyie.
 
tuwekee na namba ya tigo. vipi zipo kwenye lugha ipi? ya kiswahili naweza pata? mia
 
tuwekee na namba ya tigo. vipi zipo kwenye lugha ipi? ya kiswahili naweza pata? mia

Kwa sasa hatuna namba ya tigo ila kama unaona ni gharama sana kupiga simu unaweza kuwasiliana nasi kupitia e-mail kwa kutumia e-mail address ambayo tumeiweka hapo juu.
 
mwenzenu kaongea biashara mnaanza kufikiria ki unegative hii ndio tabu yenu nyie wabongo wa tz na wenzenu wengi.

badala ya kumuuliza maswali awape majibu mnaanza kumwita mwizi kwa misingi ipi?


ulizeni awape majibu then muulizeni au mucomment

warudisha maendeleo nyuma nyie.

Kumbe umelioona hilo eee?? nashukuru sana mkuu kwa kunisaidia kuwajibu
 
Za kiswahili zipo?mi nipo kigoma,je ukiondoa bei ya dvd,je gharama kufika huku inakuaje,
 
Za kiswahili zipo?mi nipo kigoma,je ukiondoa bei ya dvd,je gharama kufika huku inakuaje,

Training DVD zote zimeandaliwa kwa lugha ya kiingereza (English) na gharama ya kukutumia hizo Training DVD na kukufikia huko uliko itategemeana na idadi ya DVD ulizoagiza kwa sababu sisi tunasafirisha kwa njia EMS ambayo rahisi na salama na wao hutoza gharama kulingana na uzito wa kitu
 
Tunazo training DVD kuhusu kitu chochote kinachohusu computer. Kwa maelezo zaidi au kuweka order tafadhali wasiliana nasi kupitia anwani zetu zilizopo hapo juu.
 
kama una swali au unahitaji ushauri kuhusiana na Training DVD zetu tafadhali usisite kuwasiliana nasi
 
Back
Top Bottom