Je unahitaji kiwanja/shamba maeneo ya tpc -moshi????????

Kamaka

JF-Expert Member
Jun 7, 2010
563
33
Shamba lenye ekari 45 linauzwa moshi-tpc mkoani kilimanjaro
limepimwa na lipo katika hali nzuri.

Bei ni maelewano(kulingana na mahitaji yako)

contacts:0713-932616 0754-828280/
 
hii mambo ya "bei maelewano" naichukia sana......KAMA UMEAMUA KUUZA WEKA BEI WATU TUJIPANGE
 
Back
Top Bottom