Je unafuatilia ama ulifuatilia Tv series gani?

dfreym

JF-Expert Member
Oct 14, 2010
342
87
KUNA TV SERIES KIBAO, ILA MIONGONI MWAO ZILIZO BAMBA NI NIKITA (ikaishia hewani) GAME OF THRONES (ikaishia hewani), KUNA PREASON BREAK, 24 HRS.

NAHITAJI KUANZA KUFUATILIA TV SERIES NYINGINE NZURI, JE NI IPI AMBAYO UNAHISI INAWEZA KUWA NA LEVEL HIZO HAPO JUU, AMBAYO UMEWAHI KUIFUATILIA, AU BADO UNAFUATILIA? TUJUZANE TAFADHALI.
 
nakupa ninazofuatilia +wiki links zake uzicheck out
two & a half men (my favourite) {season 9 ongoing}
breaking bad {last season 5 imaeanza juzi}
dexter {season 7 inaanza septemper}
modern family (obamas favourite) {seson 4 inatakiwa ianze sometime this year}
the big bang theory {seson 6 september}
hawaai five-0 (sijaanza kuiangalia to b honest, too many movies/series za kuona as u can see lakini my frends wanasema ni mzuka)
gossip gal xoxo {season 6 inaanza may}

mi mpenzi wa comedy na big bang, two & half men, na modern family ni comedies. zingine zote ni thrillers. ningekushauri utafute kwanza dexter coz naona unapenda action sana
regards, leh
de8yv8.gif
 
mi huwa nacheki top tens za series an then naangalia story zake na kudownload.

Kuna hii series inaitwa teen wolf najua sio maarufu kitaa ila ni series nzuri kuliko ulizozitaja hapo juu imetengenezwa na mtv.

Teen wolf ni viceversa ya vampire diares inaongelea werewolf instead of vampire. Kama kuna mtu yupo interest anzia hapa
TEEN WOLF S01E01 - Pilot - Watch Movies Online For Free on TubePlus

Pia kwa wapenz wa katuni mtaikumbuka avatar the last airbender now imetoka mpya inaitwa avatar legend of kora kupata avatars zote ni hapa Watch Avatar Online - Avatar The Last Airbender

Na wale wapenzi wa tvseries za kikorea mtaikumbuka series ya jumong(chumong) itv part 2 yake imetoka pia inaitwa kingdom of the winds utaipata gooddrama.com

Na hizo ndo za kwangu mimi
 
byd way Charles halper ana series yake comedy pia just started inaitwa Anger Management so far ina episode 4
 
mi huwa nacheki top tens za series an then naangalia story zake na kudownload.

Kuna hii series inaitwa teen wolf najua sio maarufu kitaa ila ni series nzuri kuliko ulizozitaja hapo juu imetengenezwa na mtv.

Teen wolf ni viceversa ya vampire diares inaongelea werewolf instead of vampire. Kama kuna mtu yupo interest anzia hapa
TEEN WOLF S01E01 - Pilot - Watch Movies Online For Free on TubePlus

Pia kwa wapenz wa katuni mtaikumbuka avatar the last airbender now imetoka mpya inaitwa avatar legend of kora kupata avatars zote ni hapa Watch Avatar Online - Avatar The Last Airbender

Na wale wapenzi wa tvseries za kikorea mtaikumbuka series ya jumong(chumong) itv part 2 yake imetoka pia inaitwa kingdom of the winds utaipata gooddrama.com

Na hizo ndo za kwangu mimi

Teen wolf nzuri pia, me nawatch hyo Suits, Fringe, Touch, Contanium, Awake, person of interest, young Justice, justice league unlimited, the bigbang theory, anger management, Avatar legend of Kora,Vampire diaries, Everybody hates chriss, outsorced, two and halfmen na Avengers Earth mightest heroes.
 
24 umeiona mkuu? Mtu mzima Jack Bouer akifanya vitu vyake. kama vipi idownload. So far zipo seanon 8, kila season episodes 24. Imetulia kichizi kama ni mpenzi wa action, utaikubali.
 
nimeshamaliza 24, prison break, nikita, lost, sincity, strikeback, flash point na nyingine majina nshasahau...sasa hivi naendelea na hawaii5 na the vampire diaries...hawaii 5 imekaa kama flash point tu yaani kila epsode inatukio lake linalojitegemea flani hivi so hata ukianzia katikati unaweza ukaelewa...kitu the vampire sasa...laaah...hii kitu noma aisee..nimeikubali!! kwa wasioiona nawashauri mitafute..mi nadowload kwa torrents!!

Download the vampire diaries s01e01 Torrents - KickassTorrents
 
Tafuta series hizi
Homeland
Human target
Falling skies
Strike back
Continuum (ipo season 1 inaendelea)
 
Kuna hii inanikosha sana

ANOTHER SILLY SEASON by bunge la jamhuri ya muungano wa Tanzania,starring Makinda

Utaipata Arusha mambo,tbc na star tv
 
kitu strike back na nikita ziko poa sana na zote nimeishia s02 natamani sana s03 na kuendelea za strike back
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom