Akili Kichwani
JF-Expert Member
- Jan 7, 2010
- 1,508
- 216
Jamii ilimnyima mwanamke nafasi, na mwanamme hakutoa kitu ili apewe hiyo nafasi, it was just selfish behaviour, and i think it was after realizing that women are very clever so the only way to tame them is to deny them power.
hicho kitu unacoita "jamii" ndio bado kueleweka vizuri.
njuavyo mimi jamii hujumuisha wanawake na wanaume. sasa wanawake clever walikuwemo halafu wanaume wapumbavu wakatake all powers! inaingia akilini?
fafanua vizuri ni nani huyo aliyemuonea mwanmke kiasi hicho kwa miongo yote hiyo na mwanamke akashindwa kabisa kujikomboa hadi sasa nalilia upendeleo? otherwise hajikomboi mpaka kiama!
tafadhari