Je, una ujumbe kwa NCCR-Mageuzi?

Fanyeni hima muhamie Chadema. Haileti tija kuwa nje wakati sera zenu zinafanana. Au na nyie ni Chadema-B?
 
Kama NCCR wakiendelea na maamuzi ya kuwajali umma wa watanzania kwa kukubali ya ya msingi ambayo wenzao wa chadema wamekuwa wakiyapigania wana nafasi ya kuja kuwa tena chama makini chenye nguvu kama hapo awali.
 
Binafsi sina maoni ila ninajambo ambalo naomba confirmation toka NCCR. Kunawakati niliwahi kusikia ikiwa ni pamoja kupata impresion kuwa NCCR ni NYUMBA ndogo ya CCM, hii baada ya kuhalalishwa kwa Nyumba kubwa, yaani CUF. Je ni lini NCCR wamejitoa kwenye hiyo political marital responsibility?
 
Binafsi sina maoni ila ninajambo ambalo naomba confirmation toka NCCR. Kunawakati niliwahi kusikia ikiwa ni pamoja kupata impresion kuwa NCCR ni NYUMBA ndogo ya CCM, hii ni baada ya kuhalalishwa kwa Nyumba kubwa, yaani CUF. Je ni lini NCCR wamejitoa kwenye hiyo political marital responsibility?
 
Tumeomba ushauri, matusi tumeishasikia mengi
 
  • wavunje uchumba wao na CUF, TLP,UDP bungeni wajitegemee
  • migogoro inayowasumbua wakubali kufanya uchaguzi mpya kuanzia chini hadi juu
 
Kahangwa

muda muafaka wa mageuzi umewadia, mageuzi ambayo nccr-mageuzi imekuwa inafanya hayakuwa ya dhati na ya kweli,

soma ramani mkuu, jitahidini kuepuka wivu na chuki kwa CDM ili muungane na kuleta mabadiliko

You need typical and true reforms , first of all revise the brand name of your political party to reflect confidence and trust
 
Uchaguzi wa uongozi lini? nataka kugombea uenyekiti..CHD kuna Bavicha na CCM kuna UVCCM je umoja wa vijana NCCR unaitwaje na nani ni kiongoz?
 
La msingi ni kuimarisha chama na Upinzani nchini, heko kwa kuungana na CDM kupinga katiba, inabidi kuondoa utwana katika chama Mbatia aachie nafasi kwa wengine waongoze chama, katika Blog yenu kuna picha nyingi za Kafulila kana kwamba yeye ndio mbunge pekee hiii haileti impression nzuri wekeni picha za wabunge wote na msichague
 
Uchaguzi wa uongozi lini? nataka kugombea uenyekiti..CHD kuna Bavicha na CCM kuna UVCCM je umoja wa vijana NCCR unaitwaje na nani ni kiongoz?

Vuta subira, wakati ukifika utajulishwa kwa njia mbalimbali, lakini sharti uwe mwanachama hai. Umoja wa vijana wa chama upo. Unaitwa NCCR-Mageuzi Kitengo cha Vijana. kwa ufupi sema; NCCR- Vijana. Mwenyekiti wake ni mjumbe wa halmashauri kuu na ni mjumbe wa sekretarieti ya chama. Kwa sasa nafasi hiyo inashikiliwa na Mhe. Felix Mkosamali (Mb).
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom