Je Una Picha? Tutumie

Muke Ya Muzungu

JF-Expert Member
Jun 17, 2009
3,444
264
Mtu yeyote anayependa kupiga picha au mwenye picha yoyote ya kuvutia, mtu eneo, tukio na taswira za aina yoyote, tafadhali zitume kwenda kwenye blog ya Picha ya aina zote zinazosisimua zinakaribishwa ili mradi hazivunji maadili ya kijamii na pia haziumizi hisia za watu. Tuma picha zako kwenda
 
Mtakuwa mnatoa sh ngapi kwa kila PICHA? make blog nyingi sana DUNIANI hununua picha sasa wewe unataka za bure
 
Embu fafanua kidogo kuh matumizi ya hizo picha

Maelezo yakijitosheleza labda naweza kukutumia toka kwenye web yangu na zina kiashilia ni za kwangu
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom