Je una mume,mke mzinzi,mwizi,mlevi!!!wahi haraka

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,720
21,778
Yawezekana wakati unaoa uliona kabisa ametoka kwa mungu gafla shetwani akachukua nafasi ..sasa basi suluhisho sio kuachana ama kumuacha yupo mungu anaeweza..kanisa la assemblies of god mikocheni b limeandaa maombi ya kufunga siku tatu kuanzia leo na jioni ukiwa na muda karibu kwenye ibada kukataa na kuuvvunja kila ngome za adui zikiwemo ulevi wizi uzinzi kwa wanandoa na wasio wanandoa...

Yawezekana mkeo anakupiga finga sana wakati ukienda kuoga na kutotkana na kupenda unashindwa kumwambia mkewangu hizi pesa amechukua panya huyu anaezunguka ndani ama lah.kibaya yawezekana umesikia ana katoto kako form six azania anakasomesha ndicho kanamliwaza..lipo jibu ..njoo uombewe mungu atamfungua kutoka vifungo vya kuzimu

karibuni na wote mnakaribishwa

kingilio

bureeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
avatar8433_1.gif

NDOA SIO MAUMIVU JAMANI KAMA HUYO MTOTO ANAEWAZA HAPO JU NDOA NI FURAHA BARAKA NA UPENDO....USIKUBALI KUKAA KWENYE NDOA NA MAUMIVU BILA KUISHUGULIKIA UTAKUFA NA SHINIKIZO HAWA WAZAZI WETU WENGI WANAONDOKA NA MASHINIKIZO UZEENI UKITAFUTA SRC WALITESENA SANA UJANANI
 
Yawezekana wakati unaoa uliona kabisa ametoka kwa mungu gafla shetwani akachukua nafasi ..sasa basi suluhisho sio kuachana ama kumuacha yupo mungu anaeweza..kanisa la assemblies of god mikocheni b limeandaa maombi ya kufunga siku tatu kuanzia leo na jioni ukiwa na muda karibu kwenye ibada kukataa na kuuvvunja kila ngome za adui zikiwemo ulevi wizi uzinzi kwa wanandoa na wasio wanandoa...

Yawezekana mkeo anakupiga finga sana wakati ukienda kuoga na kutotkana na kupenda unashindwa kumwambia mkewangu hizi pesa amechukua panya huyu anaezunguka ndani ama lah.kibaya yawezekana umesikia ana katoto kako form six azania anakasomesha ndicho kanamliwaza..lipo jibu ..njoo uombewe mungu atamfungua kutoka vifungo vya kuzimu

karibuni na wote mnakaribishwa

kingilio

bureeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

AMEN mpendwa
 
Nimepotea njia.
Mbona nchi ina mafisadi kibao au dawa yao ipo jikoni?
Acheni kudumaza akili za watanzania.
 
Yawezekana wakati unaoa uliona kabisa ametoka kwa mungu gafla shetwani akachukua nafasi ..sasa basi suluhisho sio kuachana ama kumuacha yupo mungu anaeweza..kanisa la assemblies of god mikocheni b limeandaa maombi ya kufunga siku tatu kuanzia leo na jioni ukiwa na muda karibu kwenye ibada kukataa na kuuvvunja kila ngome za adui zikiwemo ulevi wizi uzinzi kwa wanandoa na wasio wanandoa...

Yawezekana mkeo anakupiga finga sana wakati ukienda kuoga na kutotkana na kupenda unashindwa kumwambia mkewangu hizi pesa amechukua panya huyu anaezunguka ndani ama lah.kibaya yawezekana umesikia ana katoto kako form six azania anakasomesha ndicho kanamliwaza..lipo jibu ..njoo uombewe mungu atamfungua kutoka vifungo vya kuzimu

karibuni na wote mnakaribishwa

kingilio

bureeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

Mmhhh, hapo kwenye red uko sahihi au umekosea!!!!!! Hivi hapa si ndo kwa Mheshimiwa Mchungaji, Mkurugenzi Honourable MP Dr. Getu???

Aaahhhhh!!!!!!!!!! Mbona alishindwa kufungia ya kwake mpaka ikasambaratika??? Aanze ya kwake kisha ntakuja na ya kwangu

Ila, all za besiti kwenye mfungo wa kukerebisha madoa (samawani, namaanisha mandoa)
 
sorry, huyo mama wa mikocheni B si ameharibu ndoa yake anaweza kuwasaidia wengine kabla ya kutoa boriti ndani kwa jicho lake.
 
mhhh inabidi siku hii nikabane sana na Nyanzala wangu maana asije kuchepuka kumbe kaenda kwenye maombi tuachane
 
Huyu mama wa kipogoro toka Mahenge Mlungu chibidu arudiane na mumewe ndo tutaamini,vinginevyo aache usanii wake
 
PDiddy mie nilishachoka. Niliomba weee, mifungo yoootee, maombi kila aina lakini ndio kwanzaaaa! Kila miaka inavyokwenda mbele, anazidi kuwa na hizo tabia ulizozitaja hapo juu. Sijui nifanyeje maana kuja kwenye hayo maombi nimeshachoka hakuna lililofanyika hayo aina hiyo nilishafanya tena kwa moyo wote na mtu iko vile vileeee! :embarrassed:
 
askofu kiongozi hana ndoa naye mwizi tu, mnaoenda huko mnatimiza yale maneno ya kristu yesu, acheni wafu wazike wafu wenzao.
 
Back
Top Bottom