Je una kipaji gani? Ulikitambuaje kipaji chako?

Jamani ee. "Talent" and "unique Ability" are two things different japokua vyote vinategemeana. Narudi baadae kuelezea zaidi.
 
Uongo...
I am proud to say nimebarikiwa kuwa na hiki kipaji kwa kweli...
Yaani kila ninalosema huwa ni uongo halafu watu wanaaminigi...
Nilikigundua pale nilipomwambia mtu kuwa mimi ni muongo sana kisha akaniamini...
 
Back
Top Bottom