Je umri wako na uzito wako viko sawa?

Saint Ivuga

JF-Expert Member
Aug 21, 2008
54,363
58,385
............... kilo.jpg
 
Attachments

  • kilo.jpg
    kilo.jpg
    25.3 KB · Views: 404
Kuna mtaalamu mmoja wa nutrition alinambia kuwa nusu ya uzito wako ndo inatakiwa uwe uzito wako.
So kama una 180cm na kilo zako zatakiwa kuwa 90kg
 
Kuna mtaalamu mmoja wa nutrition alinambia kuwa nusu ya uzito wako ndo inatakiwa uwe uzito wako.
So kama una 180cm na kilo zako zatakiwa kuwa 90kg

Ali kuambia na formula ya kuangalia kama kwenye malnutrition,over weight or obese?
 
Kwa watu wazima: Mahusiano kati ya Uzito wa mtu na Urefu wake unaitwa Body Mass Index (BMI).

BMI = Weight(Kg)/Height(meter square).

Mfano: Weight = 75kg, height = 175cm au 1.75meter

BMI =75/(1.75x1.75) = 24.5 kg/m2

Angalizo: <18.5 = Underweight, 18.5 - 24.9 = Normal weight, 25 - 29.9 = Overweight, 30 - 34.9 =Obesity class 1
35 - 39.9 = Obesity class 2, >40 = Obesity class 3.
 
DUUUUUU nipo 160cm ila nina 82 kgs

Ngoja nianze kujinyima ugali nipunguze uzito
 
Kuna mtaalamu mmoja wa nutrition alinambia kuwa nusu ya uzito wako ndo inatakiwa uwe uzito wako.
So kama una 180cm na kilo zako zatakiwa kuwa 90kg

'nusu ya uzito wako ndo inatakiwa uwe uzito wako?'= viroba vya ofa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom