The Boss
JF-Expert Member
- Aug 18, 2009
- 49,108
- 115,842
Kwanini isiwe kwamba tabia yake ilikua kuwahi ila baada ya kujikuta kwenye sehemu tofauti na aliyokuwapo mwanzo akadevelop tabia mpya ambayo ni kutokujali???
Wakati mwingine watu wanabadilika kutokana na mazingira.
mara nyingi shida umasikini na tabi ndo zinafanya watu wabadilike
kama ilivyo power na pesa....watu wakiwa chini wanabadilika
wanajifanya wema saana,wasikivu n.k
wakiwa juu nddo wanakuwa jeuri na kadhalika....
but most of time,power na pesa zinawafanya wawe themselves....
ingawa sisi watu wa pembeni ndo tunaona wamekuwa tofauti....