Je umeshawahi kutendwa VALENTINE?

MUREFU

JF-Expert Member
Oct 1, 2010
1,331
349
Wanandg wa JF nimeona 2anzishe jukwaa la waliowah kuumizwa cku ya valentine. Kama umewah kukutwa na tatzo lolote juu ya mapenz cku ya valentine bac jielezee mm nikiwa mmoja wapo ctasahau cku hyo maishan mwangu kote. Kwan nilipigwa chn siku hyo na niliyempenda je na wewe imewah kukutokea hvyo? Jielezeee...
 
Mimi nimewahi kupiga chini siku ya Valentine,nilipata mwanaume bora zaidimwenye hela zaidi) na akaamua kunionyesha siku hiyo kuwa ananipenda,nami nikampiga chini yoyo niliyekuwa naye,sijawahi jutia!
 
Mimi nimewahi kupiga chini siku ya Valentine,nilipata mwanaume bora zaidimwenye hela zaidi) na akaamua kunionyesha siku hiyo kuwa ananipenda,nami nikampiga chini yoyo niliyekuwa naye,sijawahi jutia!
Mh! Ubora wa mwanaume unapimwa kwa pesa alizonazo?
 
Mimi nimewahi kupiga chini siku ya Valentine,nilipata mwanaume bora zaidimwenye hela zaidi) na akaamua kunionyesha siku hiyo kuwa ananipenda,nami nikampiga chini yoyo niliyekuwa naye,sijawahi jutia!

duh! Ila coji 2ache hvyo hvyo
 
Mimi nimewahi kumuumiza mtu siku ya Valentine japo sikukusudia. Aliumia sana na kweli nilijutia.....!
 
Mmmhh, yawezekana Murefu na D ndo mlopigana chini ila hamjajuana tu!!! Anyway for me love lives always not only on valentine day.... Ni wazo zuri, kwani mtakuwa mnafarijiana wenyewe kwa wenyewe jamvini!!!:coffee:
 
mimi nimewahi kupiga chini siku ya valentine,nilipata mwanaume bora zaidimwenye hela zaidi) na akaamua kunionyesha siku hiyo kuwa ananipenda,nami nikampiga chini yoyo niliyekuwa naye,sijawahi jutia!

gold digger....
 
Mmmhh, yawezekana Murefu na D ndo mlopigana chini ila hamjajuana tu!!! Anyway for me love lives always not only on valentine day.... Ni wazo zuri, kwani mtakuwa mnafarijiana wenyewe kwa wenyewe jamvini!!!:coffee:

wacha wewe ukiona wenzio wananyolewa wewe tia maji m2 wangu hakuna alie penda liwe hv anyway ninakutakia mema mzaz au co take care babu
 
yamesha nikuta miaka 8 sasa na tangu kipindi hicho sijawahi kusheherekea siku ya valentine.... nilikuwa na mpenzi wangu tulipendana sana zaid ya miaka 5 tukiwa wapenzi na ndie aliekuwa mume wangu mtarajiwa tangu kipindi hicho hadi leo sitamani tena kuchumbiwa wala kuolewa nimewachukia wanaume
 
Back
Top Bottom