Je umesau/umepoteza funguo ya pikipiki au gari?

najivuagamba

New Member
Jul 24, 2011
4
2
Usihofu kama umepoteza funguo na haupo karibu na rimote yako ya pikipiki au gari. Unachotakiwa kufanya ni kumpigia simu mtu alite nyumbani na umuambie achukue rimoti ya pikipiki au gari yako na akutolee lock na kukuwashia kwa kuelekezea kwenye simu .kumbja simu inatakiwa iwe hewani wakati anafanya hivi. Testeb by me 100% hata rimoti ikiwa arusha wewe upi dar es salaam for more utunndu pm me
 
hahaha This can not work. Kwani remote control ya gari au piki piki ina operate katika freqeuncy gani?

Na ndio maana umeandikisha jina jipya kwa jili ya huu uzi. hahahhaahhha .
 
so does this mean i can record that and unlock the car with a recording everytime?
 
Usihofu kama umepoteza funguo na haupo karibu na rimote yako ya pikipiki au gari. Unachotakiwa kufanya ni kumpigia simu mtu alite nyumbani na umuambie achukue rimoti ya pikipiki au gari yako na akutolee lock na kukuwashia kwa kuelekezea kwenye simu .kumbja simu inatakiwa iwe hewani wakati anafanya hivi. Testeb by me 100% hata rimoti ikiwa arusha wewe upi dar es salaam for more utunndu pm me

Naona umeamua kutupumbaza
 
ungetupa mchakato mzima hapa hapa ingekuwa tamu mkuu-
 
hahaha This can not work. Kwani remote control ya gari au piki piki ina operate katika freqeuncy gani?

Na ndio maana umeandikisha jina jipya kwa jili ya huu uzi. hahahhaahhha .

usemayo ni kweli kabisa mkuu cuz remote controls uses infrared.
 
Mkuu kabla sijaingia kubisha kwa nguvu zote naomba kwanza unidada vulie maswali haya machache.

Ni vipi utatoa lock door lock na pili ni vipi simu itaoperat kwenye ignition switch kwa kuweka acc,switch on na hatimaye start.Ok labda hayo yote ya acc na switch on yakafanywa na simu je ni vipi? Simu inaweza toa rock ya stering?

Tatu je ni vipi simu inaweza kuoperate kwa gari zenye immobilizer?? Funguo zake huwa zinakuwa na sensar ambayo hutoa frequency fulani na kupeleka mawasiliano mpaka kwenye ECU ,engine control.

Naomba unidadavulie hapo mkuu hasa hapo kwenye namba 2.
 
This only applies to cars that can be unlocked by remote button. Should you lock your keys in the car and the spare keys are home.
If some one has access to the spare remote have them telephone you on your cell phone.
Hold your (or anyone's) cell phone about a foot from your car door and have the other person press the unlock button, hold it near the phone.
Your car will unlock. I tried it and it works. Saves someone from having to drive your keys to you. Distance is no object.
 
Analysis: Comforting though it may be to imagine you can unlock your car door in an emergency by receiving a distant signal via your cell phone, it can't possibly work — not with the technology as it presently stands, at any rate. Here's why:
Your remote car key operates by sending a weak, encrypted radio signal to a receiver inside the automobile, which in turn activates the door locks.
Since the system works on radio waves, not sound, the only conceivable way a signal from your spare remote could be picked up by one cell phone and relayed to your car's onboard receiver by another would be if both phones were capable of sending and receiving at exactly the same frequency as the remote itself — which they can't be, given that all remote entry devices operate at frequencies between 300 and 500 MHz, while all mobile phones, by law, operate at 800 MHz and higher.
It's apples vs. oranges, in other words. Your cell phone can no more transmit the type of signal needed to unlock a car door than your remote key is capable of dialing up your Aunt Mary... though no one can predict what miracles the future may bring.
 
Back
Top Bottom