Je umeliona hili....

Kimbweka

JF-Expert Member
Jul 16, 2009
8,597
1,683
Kwa wale wanaoangalia tv channel ya citizen ya wenzetu wa kenya, kuna kipindi kinaitwa NASWA looh yaani ni zaidi ya ze comedy , ni vituko vitupu nimependa ubunifu wao...........
 
Mkuu mi huwa naangalia kule youtube,hao majamaa ni noma halafu creative,kuna wengine wanajiita PASUA sijui ni tv gani ila majamaa ni soo
 
Mkuu mi huwa naangalia kule youtube,hao majamaa ni noma halafu creative,kuna wengine wanajiita PASUA sijui ni tv gani ila majamaa ni soo

Kwenye youtube wanatumia jina gani ili niweze kuwatafuta niburudike.......?
 
Kuna Gags pia ya Ufaransa inayorushwa hapo hapo Citizen mida ya saa kumi au kumi na moja hivi, before Tafrija programme, inafurahisha sana, kimya kimya kama Bean
 
But na Vuvuzela ya Bongo, from clouds Tv, monday, tatu usiku, wanajitahidi pia!
 
Hivi hao jamaa nikiangalia kipindi chao, itakuwa ni tiketi ya kunifikisha mbinguni?
The unseen is illustrated by the seen.
 
Mie huwa naangalia sijawahi kukielewa...
siku hizi nikimaliza kuangalia Papa Shilandula nahamisha Chanel
 
Mie huwa naangalia sijawahi kukielewa...
siku hizi nikimaliza kuangalia Papa Shilandula nahamisha Chanel

FL, Umenikumbusha mbali. madogo huwa wanakipenda sana hko kipindi,so nami huwa najikuta naangalia mara chache. kinafurahisha kweli. . . .
 
Back
Top Bottom