Je umekumbana na adha gani tishio la tsunami?

TWIZAMALLYA

JF-Expert Member
Oct 1, 2011
397
81
Binafsi nilitoka city centre saa kumi nikapitia baharini maana nilipata taarifa kuwa ndiyo njia pekee iliyokuwa afadhali kwani ilikuwa inatembea kidogo.kufika maeneo ya Aghakhani njia ikawa haiendi kabisa mpaka saa moja inafika niko mitaa ya courtyard,nikajua ndo mwisho wangu lakini sikukimbia gari.
 
Jana was a wasted day kwangu kuanzia saa nane mvua ilipoanza na alerts zilipokua zinaongezeka

Tuna shida kubwa ya infrastructure hasa barabara
 
Watu wengi sana haswa morogoro rd na kilwa rd walitembea kwa miguu inahaitajika juhudi za dhati kuimarisha miundombinu.
 
mie nimepata adha ya kuondoka mapema ofisini, huwa sipendi kupita mtaani kwetu kabla giza halijaingia, lol
Nliilaani Tsunami, kwani Boss alifunga ofisi na wote tukaambiwa tuondoke.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom