Je, ulishawahi kula ada ya shule/chuo? Tuambie uliirudishaje

mzee wangu mimi alikua ananipa ada then ananisindikiza imagine toka mwanza huko mpaka morogoro njia nzima anasoma risala mpaka kuna kipindi nilitoa pesa yote kwenye begi nikamtupia basi tu abiria wakatusihi niichukue,, mzee alikua na risala mbaya yani anakomaa hii pesa natoa kama mkopo ukipata kazi lazima kila shilingi izae shilingi.. sasa ole wako usimjibu wakati anakusomea alikua mpaka ananikaba shati eti nisaini kwenye notebook yake niji commit kwamba hiyo pesa ntairudisha,,
 
Nilikula ada.semester hyo.nikawa nalala nyumbani.na kuzunguka zunguka mitaani.ujue CHUO sio kama primary au secondary. .mzazi hata akitaka kuja kukufatilia anashindwa aanzie wapi.
 
Nilikula mzigo wa form six mkwawa mpaka Leo sijalipa na vyeti sijachukua maana sekta binafsi nilipo UHAKIKI hauna nafasi na kama mtu haamini nilisoma form six basi anijibu nilifikaje chuo .
Vyeti vya Mkwawa vilipelekwa Ifunda na huko Ifunda ofisi iliyokuwa inahifadhi vyeti iliungua moto na vyeti viliteketea kwahiyo cheti cha form six huna.
Cheti changu cha kumaliza mkwawa nilichukua Ifunda 2007.
 
Nilikula ada ya olevel elfu 80 vyeti vilipotoka nikaenda kuchukua mwalimu wa taaluma aliyekuwa anatoa vyeti akaniuliza hudaiwi nikamjibu sidaiwi akanipa cheti baada ya kupata cheti nikaondoka nilienda kwa baiskeli Siku ile nilikimbiza baiskeli nikasema hata kama watanifuatilia hawawezi kunikuta njiani .
 
Jamani hela ya ada ni tamu sana

Sema ukishaila,huwa inakuwaga ngumu kuirudisha,,unaweza kujuta

Mimi nlishawahi kutumbua laki tano ya ada ya chuo ya semester ya pili
Niliitumbua kwa shopping tu yanii

Sema sasa nilijuta jinsi ya kuilipa kipindi cha mitihani kilipofika
Thanx to "my papuchi jamani"
Loooooooh inasaidiaga sometime

Jamani msile ada awamu hii ya tano mtatumbuliwa View attachment 422057

Ukauza mbunye ukarudishia ada. 'Shimo la hewa' ukaligeuza kitega uchumi.

Naona umerusha 'santakarawe' kidigitali. Na kama hiyo avatar yako ndiyo wewe halisi, mbona utawanasa wengi humu nami nikiwemo.

Ngoja niuze matikiti yangu afu nikutafute... nitakulisha madini unye utajiri.

-Kaveli-
 
Vyeti vya Mkwawa vilipelekwa Ifunda na huko Ifunda ofisi iliyokuwa inahifadhi vyeti iliungua moto na vyeti viliteketea kwahiyo cheti cha form six huna.
Cheti changu cha kumaliza mkwawa nilichukua Ifunda 2007.
Duuhhhh....mwanangu mie ndio nilikuwa najiuliza nikienda mkwawa naanzia wapi kuuliza chet cha form 6 graduate wa 1996.....wavivu wa fikra weshageuza shule kuwa university na wamepoteza na kuharibu historia za maisha ya watu.

sasa ifunda ndio hapo vyeti vimeungua....shubaaaaamiti.
 
Mi mzee alikua mgumu sana, nilichokua nakifanya sili ada, nikamwambia sitokuangusha katika masomo yangu na hutojuta kunisomesha. Sasa ile hela ya vitabu ndio nilikuwa naweka chajuu hatari, yaani kama vitabu vina'cost 100,000 Mimi hapo nitaweka 180,000 na kila muhula lazima ninunue vitabu iyo ni tangu o'level hadi chuo.
 
mzee wangu mimi alikua ananipa ada then ananisindikiza imagine toka mwanza huko mpaka morogoro njia nzima anasoma risala mpaka kuna kipindi nilitoa pesa yote kwenye begi nikamtupia basi tu abiria wakatusihi niichukue,, mzee alikua na risala mbaya yani anakomaa hii pesa natoa kama mkopo ukipata kazi lazima kila shilingi izae shilingi.. sasa ole wako usimjibu wakati anakusomea alikua mpaka ananikaba shati eti nisaini kwenye notebook yake niji commit kwamba hiyo pesa ntairudisha,,
Ila sasa hivi unamshukuru kwa kufanya hivyo ? Kwani baada ya yote hayo wewe kumaliza masomo ametaka hata sh tano yako ?
 
Halafu risala iwe ya Mzee wa Kijaluo. Amefunga tai kuubwa huku Bi. Mkubwa akikukazia macho...!!
Walaa baba neno lake kuu ilikuwa mshike sana Mungu na elimu, amemaliza. Ada alikuwa anamkabidhi mama , mama ndio anakupa ila kabla ya kupewa unawekwa chini unapewa mausia ya kutosha.
 
Jamani hela ya ada ni tamu sana

Sema ukishaila,huwa inakuwaga ngumu kuirudisha,,unaweza kujuta

Mimi nlishawahi kutumbua laki tano ya ada ya chuo ya semester ya pili
Niliitumbua kwa shopping tu yanii

Sema sasa nilijuta jinsi ya kuilipa kipindi cha mitihani kilipofika
Thanx to "my papuchi jamani"
Loooooooh inasaidiaga sometime

Jamani msile ada awamu hii ya tano mtatumbuliwa View attachment 422057
Hebu jaribu utupe feedback
 
Mimi nilishakula Ada ya gvt nilipewa nilipe ya mwaka nkalipa ya nusu mwaka 35,000 .Ilobaki nkala na term ilipoisha nkaomba kuhamishwa shule coz ilikua mbali na home shule Nganza home Tanga!!!!
Chuo nakumbuka tukashawishiana na kaka angu tule ada yake (hapo yeye hana boom mwenzie nnalo) were kufika mitihani ikabidi tupige home kusema ameibiwa, basi wakatuma.Ila I felt guilty na sikurudia teba
 
Wengine tulikuwa tunapewa risiti tu
Hahahahha walikuweza kabisa
Ukauza mbunye ukarudishia ada. 'Shimo la hewa' ukaligeuza kitega uchumi.

Naona umerusha 'santakarawe' kidigitali. Na kama hiyo avatar yako ndiyo wewe halisi, mbona utawanasa wengi humu nami nikiwemo.

Ngoja niuze matikiti yangu afu nikutafute... nitakulisha madini unye utajiri.

-Kaveli-
 
Mimi nilishakula Ada ya gvt nilipewa nilipe ya mwaka nkalipa ya nusu mwaka 35,000 .Ilobaki nkala na term ilipoisha nkaomba kuhamishwa shule coz ilikua mbali na home shule Nganza home Tanga!!!!
Chuo nakumbuka tukashawishiana na kaka angu tule ada yake (hapo yeye hana boom mwenzie nnalo) were kufika mitihani ikabidi tupige home kusema ameibiwa, basi wakatuma.Ila I felt guilty na sikurudia teba
Ulipohama Shule ikabidi wakalipe upya tu. Hahha! Vipi vijana wa Nsumba,hawajakumendeaga ulipokua Nganza?
 
Similar Discussions

7 Reactions
Reply
Back
Top Bottom