Je ulipata kujua hili,me nimeshindwa juu ya wenzetu hawa VIPOFU...Msaada.

Thinker96

JF-Expert Member
Jan 15, 2011
311
66
Habarini wakuu wa jamvi,me ni kijana ambaye huwa nafikiria mambo mengi sana na mengine nashindwa kabisa moja ambalo imenibidi nililete hapa jamvini ni kuhusu hawa wenzetu wasio na uwezo wa kuona walio zaliwa nao,sio wale wa kuupata kwa namna moja ambaya mwenyezi amependa itokee...wakuu kikubwa hasa nilikuwa nataka kujua ni kwamba je VIPOFU wa kuzaliwa na upofu huwa wanaota ndoto?na kama wanaota wanaota wanaona nin?,katika ndoto nieleweka kama we ukiota na rangi ya vitu na vitu si huwa unatambua wao je?
 
Kwani wewe ukiwa ndotoni hayo ambayo huwa unayaona huwa unayaona kwa macho?
lakini akili si huwa inapiga picha vitu ulivyowahi kuviona. Mi nahisi huwa wanajenga picha kutokana na masimulizi mfano we unaweza kusimuliwa kuhusu kuzimu akaanza kujenga picha fulani japokuwa hujawahi fika lakini nalo na doubt maana hata ukisimuliwa kuhusu kuzimu utajenga picha kulingana na vitu alivyowahi ona yaani moto, funza na majitu yenye mapembe uuuuh!. somebody help.
 
watakuwa wanaota ndoto kulingana nakile wanachohisi kuwa ndivyo kilivyo kwa vile hawajawahi kukiona, wale walokuwa wanaona wakageuka vipofu watakuwa wanaota kama wewe unayeona, wale vipofu wa tangu kuzaliwa wanaishi kwa kuhisi kitu fulani kina umbile fulani, hivyo wanaota kulingana na jinsi wanavyofikiri wao.
 
hapo ndio penye shida umesema watahisi kina umbile fulani,umbo gani? wakati hawajawahi kuona kitu chochote kwa hiyo hawana referrence ya maumbile au kwa njia ya kishika vitu?
 
Usione hawana macho ukadhani hawaoni. Na usione ana macho ukadhani anaona.

Kuna wenye macho lakini hayaoni.

Na kuna vipofu lakini wanaona kuliko unavyoona wewe.
 
hapo ndio penye shida umesema watahisi kina umbile fulani,umbo gani? wakati hawajawahi kuona kitu chochote kwa hiyo hawana referrence ya maumbile au kwa njia ya kishika vitu?

sasa ntajuaje wakati sipo kwenye nafsi zao? so do you think hawaelewi jiwe ni jiwe, kwa ku'tach?
wanasikia na wanagusa vinavyoshikika, kwa vyovyote elewa tu kuwa wanahisi vile wanavyohisi fullstop!
kwan wewe unajua malaika ana umbo gani? mbona umeaminishwa malaika ana mabawa wakati hujawahi kumuona? au kuwa shetani ana mapembe wakati hujawahi kumuona, mbona unahisi jini lina umbo fulani wakati hujawahi kuliona?
 
Wakuu kwa yule ambaye anasema huwa wanaota na naomba msaada wa maelezo kwa hicho anachokiota huwa na rangi au kinakuwa namna namna tu. . . .hebu fikiria uwezo ulionao kiakili na kifikra unaweza kumuelezea kipofu wa kuzaliwa rangi nyeupe.
 
sasa ntajuaje wakati sipo kwenye nafsi zao? so do you think hawaelewi jiwe ni jiwe, kwa ku'tach?
wanasikia na wanagusa vinavyoshikika, kwa vyovyote elewa tu kuwa wanahisi vile wanavyohisi fullstop!
kwan wewe unajua malaika ana umbo gani? mbona umeaminishwa malaika ana mabawa wakati hujawahi kumuona? au kuwa shetani ana mapembe wakati hujawahi kumuona, mbona unahisi jini lina umbo fulani wakati hujawahi kuliona?
zumbe mi nimeaminishwa malaika ana mabawa naweza kumjengea picha kwa sababu mabawa nayajua na kwa kuyaona na najua yanakaaje kwenye mwili na hata nikiota najua leo nimeota malaika kaja, sasa asiyeona unafikiri anaweza kumuota malaika kama ambavyo jamii huwa inawachukulia malaika? halafu kutach kuna limit zake huwezi tach mlima au mbingu(anga), unafikiri asiyeona akiota anaona anga unafikiri ataliona kama tunavyoliona. kwenye dictionary wanasema dream ina husisha thoughts, sensations and images sasa hawa wenzetu wanapata wapi images?

ssa
 
Kuna vipofu wanaoona, kuna kipofu mmoja huko mby alikuwa anaziba mpaka pancha za baiskeli

upofu umetofautiana kuna wenye uoni hafifu (wanaona kwa mbali) na wasioona kbs. Vipofu cku zote wana2mia hisi mf anapotembea njian kuna v2 ananote km vl mashimo, makorongo n.k atakapopta mara ya pili Hapat shida. Na kaz akifundshwa anafanya japo haon coz wanakumbu2 sn. Mi nasoma nao weng 2. Nikifanikiwa ntawauliza kuhusu ndoto.
 
Back
Top Bottom