Je ulipanda pesa DECI?

Mkurabitambo

JF-Expert Member
Feb 3, 2010
230
57
nakumbuka huu upatu wa Taifa,na si lengo langu kuwakumbusha machungu bali nikiwa kat ya mpandaj mbegu ninauliza vp tutazpataje pesa zetu.
 
nakumbuka huu upatu wa Taifa,na si lengo langu kuwakumbusha machungu bali nikiwa kat ya mpandaj mbegu ninauliza vp tutazpataje pesa zetu.

Maswali megine bwana, Kwani hizo pesa ulipanda huku JF? ulipopanda ulishirikisha wana JF?

Sehemu sahihi kuuliza hilo swali ni pale ulipopanda kwani wao watakuwa na majibu sahihi.
 
Maswali megine bwana, Kwani hizo pesa ulipanda huku JF? ulipopanda ulishirikisha wana JF?

Sehemu sahihi kuuliza hilo swali ni pale ulipopanda kwani wao watakuwa na majibu sahihi.
Huwezi kujua, pengine yupo mwana JF mwenzake ambaye alipanda mbegu DECI lakini zikakauka kwa ukame. Hivyo anaomba kama yupo amjuze. JF ina mambo mengi!
 
Na miye nauliza kuna aliyepanda pesa NSSF? nadhani wapo wengi sana humu ndani. Jiandaeni kuangua kilio cha machozi yasiyokauka.
 
da nlipanda mbegu,sikujua kuwa ukamwe unanyemelea,ila huwa najitaidi kusahau nashindwa,dah bwn alitwaa!!!!!!!!!!!!!1
 
sa mkuu pesa zako ulipanda mbegu gani? dola,pound,euro au madafu? Hata hivyo jibu ni kuwa hutazipata tena kwani ulisahau kuzimwagia maji hivyo zimekauka.wajinga ndiyo...............
 
Wale wachungaji waliokusanyika pale SABASABA wanajua ulikuwa ufunuo kutoka wapi!!!!
 
da nlipanda mbegu,sikujua kuwa ukamwe unanyemelea,ila huwa najitaidi kusahau nashindwa,dah bwn alitwaa!!!!!!!!!!!!!1
Dah kuna mashikaji wangu alipanda akapata ml3!akaingiwa na tamaa ya kupata ml9 akaenda akazimwaga huko.........!!hakuona hata shimo alilopandia maana alilia!!Ila na mimi niingie nusu angepata hiyo 9 ningejitosa...yumkini nisingeruka huo mtego!!
 
Back
Top Bottom