Je uko tayari hata kama itakuwa sasa.......?

FirstLady1

JF-Expert Member
Jul 29, 2009
16,792
5,374
JF tumekuwa tukichit chat ,tukidondokeana mambo ya flirt na mengineyo kibao ..
Lakini je hivi kwa mfano unaulizwa
Kongosho bila mjadala wala nini naitaka roho yako muda huu
hapana mambo ya ooh ngoja nimuage sijui Invisible ,sijui niwaage watoto wangu.
Asprin anakutwa bar na serengeti tano kichwani

Je mko tayari kama itakuwa ndo unakuja kunyakuliwa mida hii??

Na Je unaamini utaingia mji wa amani paradiso siku ya ufufuo..?
Ni ka swali tu kamenijia..
 
.
Cheat chat! Ngoja waje..
 
Heri wenye moyo safi maana watauona ufalme wa Mungu. Mimi nipo tayari.
 
@ Erick aliyekwambia paradiso ni kwa mzungu ni nani? Huko hakuna kupenya ndugu yangu...
 
Mh mapungufu yapo....ila kwa kupenyapenya paradiso naweza kufika

hahaha Erick52 kwa kupenyapenya kumbuka kule hakuna kutoa rushwa
Swali langu ni kuwa sasa Erick unaambiwa naitaka roho yako muda huu..Je unaamini utaingia huko ?
 
@ Erick aliyekwambia paradiso ni kwa mzungu ni nani? Huko hakuna kupenya ndugu yangu...

bora umemwambia wewe sweetlady,,weekend yako iko vip?
Na je kama ww ndo muda unaambiwa habari hiyo utafanyaje ati?
 
@ Erick aliyekwambia paradiso ni kwa mzungu ni nani? Huko hakuna kupenya ndugu yangu...
Teh SweetLady najua km nisipoingia sababu ni nini....
Itakuwa majungu tu...otherwise mi ni km malaika...
lol naona aibu kusema uongo
 
Kama jina lako lipo hapa basi Paradiso huwezi kwenda
1.Kikwete
2.Malima
3.Ndalukacho
4.Riz1
5.Mzee wa Upako
6.Rwakatare
7.Mwingira
8.
 
FL1, kwenda paradiso ni kwa neema ya Mungu. It's a daily struggle, unaanguka, unaamka, unaendelea na safari.

Kuna wachache wanaopata bahati ya kufunuliwa saa ya kuondoka kwao na wanaongoka.

Dah, hili swali zito sana hili.
Anyway asante kwa kutukumbusha.
 
bora umemwambia wewe sweetlady,,weekend yako iko vip?
Na je kama ww ndo muda unaambiwa habari hiyo utafanyaje ati?
Teh unajua ukimwacha SweetLady aniambie atanipiga vijembe tu mi namjua...hanaga dogo na mimi
 
umeshasoma historia ya Sauli(aliyekuja kuitwa Paulo)??
Kuna akina Baraba aliyeachiwa badala ya Yesu?

Haya mambi si ya kuhukumu kirahisi hivyo.
Kama jina lako lipo hapa basi Paradiso huwezi kwenda
1.Kikwete
2.Malima
3.Ndalukacho
4.Riz1
5.Mzee wa Upako
6.Rwakatare
7.Mwingira
8.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom