Je ukitaka kujua umuhimu wa herufi...

BAK

JF-Expert Member
Feb 11, 2007
124,789
288,011
....mbili b na o au bo, basi waulize wanachama, mashabiki na wapenzi wa JF ambao wiki hii waliathirika kutokana na ukumbi wao maarufu kulazimika kubadilisha jina kwa sababu zilizo nje ya uwezo wao.
 
....mbili b na o waulize wanachama, mashabiki na wapenzi wa JF ambao wiki hii waliathirika kutokana na ukumbi wao maarufu kulazimika kubadilisha jina kwa sababu zilizo nje ya uwezo wao.

Kuna wengina kama Mzee Es sijawaona hapa, inaonekana bado hawajui kilichotokea.
 
ha, ha, Bubu haya uyasemayo ni swadakta kabisa maana sasa hivi tunataka kuwa kama wenzetu ambao namba 13 kwao ni mkosi au tarehe 29 Febr yaani wanafanya makusudi ili watutoe nje ya uwanja lakini bado tunakomaa nao kiubishi ubishi.
 
Back
Top Bottom