Je, Uganda inachangia kushuka kwa kina Ziwa Victoria?

It's a hoax, Al Gore and them wants to make a big deal out of nothing!

Ukimsikia mtu anasema "Al Gore and them" unajua tu he/she has no business discussing the intricacies of global warming.
 
QUOTE=Kiranga;

Unless unatuletea kitu kingine zaidi ya rekodi ya kihistoria tu, huwezi kusema kwa ujuzi kwamba Ziwa litakauka.

Ukituambia kwamba precipitation inapungua kutokana na global warming, deforestation na urbanization, kwa hiyo vyanzo viwili vya maji (mvua na mito) vinapunguza maji yanayoingia ziwani mwaka hadi mwaka, nitakuelewa.

Otherwise, all closed systems tend to deteriorate and you just can't fight entropy, this is ingrained into all time subjected phenomena by the second law of thermodynamics.

It's all part of continual natural changes of the solar system. Archaelogical facts only pave ways to scientific studies and conclusion. The on-going natural (not man-made) global climatic changes are the reasons behind Lake Victoria diminishing quality and quantity.
 
Kiranga

Hatukatai kuwa tunasababisha madhara kwa mazingira ya kila aina, lakini sio hasa kilichosababisha global warming. Hata tungetunza mazingira basi ingetokea tu.

Ambayo haimanishi kuwa tusichukue hatua za kulinda mazingira lakini global warming 'imetengenezwa' ili kutumika kutajirisha watu fulani kwenye nchi zilizoendelea

*Maneno kutoka kwa wanaopinga kuwa global warming imesababishwa na shughuli za binaadamu
 
Naendelea kujifunza kwa mjadala waenu, lakini swali langu linabaki pale pale global warming imesababisha na shughuli za binadamu, wa kenya Uganda hapa nataka kufahamu zaidi. na kiranga amesema Bwawa la Owen lilikuwepo toka mwaka 1954 je ni kwa kiasi gani lilikuwa likizalisha umeme na sasa linazalisha kiasi gani?
 
Nipe article kutoka a respected scientific journal, kama "Nature" au "Science" yenye abstract kama hiyo nitaisoma na kuangalia peer review yake imeendaje.

Hawa wengine tushawazoea birthers wanakwambia global warming is a hoax and Barack Obama is not a US citizen, he was born in the murky alleyways of Nairobi.
 
It's all part of continual natural changes of the solar system. Archaelogical facts only pave ways to scientific studies and conclusion. The on-going natural (not man-made) global climatic changes are the reasons behind Lake Victoria diminishing quality and quantity.

Kwa hiyo desertification, deforestation, urbanization, industrialization ambazo zote zinasababisha less precipitation ambayo in turn inasababisha upungufu wa maji katika sources mbili za ziwa - mito na mvua- zote hizo ni natural phenomena?

Ukitaka kusema hii ni natural phenomena lete studies zinazosema hilo, usiassume tu kwa sababu ziwa limekuwa likipungua kwa maelfu ya miaka naturally basi kupungua huku nako ni natural, bila hata kuangalia rates na mambo mengine.
 
Hawa wengine tushawazoea birthers wanakwambia global warming is a hoax and Barack Obama is not a US citizen, he was born in the murky alleyways of Nairobi.

Unarukia kusiko kabisa. Birthers wanaingiaje hapa?
 
Nipe article kutoka a respected scientific journal, kama "Nature" au "Science" yenye abstract kama hiyo nitaisoma na kuangalia peer review yake imeendaje.

Sasa unanipangia mpaka journal la kukuletea! Lol

Nipe saa 12 niisake 'Nature' nije nalo

:p
 
Naendelea kujifunza kwa mjadala waenu, lakini swali langu linabaki pale pale global warming imesababisha na shughuli za binadamu, wa kenya Uganda hapa nataka kufahamu zaidi. na kiranga amesema Bwawa la Owen lilikuwepo toka mwaka 1954 je ni kwa kiasi gani lilikuwa likizalisha umeme na sasa linazalisha kiasi gani?

Jaribu kupitia paper kwenye link alotoa Kiranga kwenye post #5 nafikiri itakusaidia kwa kuanzia

Athari za global warming hazitokei kwenye sehemu tu ilosababisha global warming bali kwa ujumla ni kwa hali ya hewa duniani kote

Hii ya ziwa Victoria imeonyesha kuna direct link baina ya ujazo wa maji na bwawa la umeme la Uganda pamoja na link nyengine iliyotokana na hali ya hewa (kwa mujibu wa paper iliyowasilishwa hapa)
 
Nipe article kutoka a respected scientific journal, kama "Nature" au "Science" yenye abstract kama hiyo nitaisoma na kuangalia peer review yake imeendaje.

Sasa unanipangia mpaka journal la kukuletea! Lol

Nipe saa 12 niisake 'Nature' nije nalo

:p

Sijakupangia, nimekupa caliber, ndiyo maana nikatumia neno "kama". Usije kuniletea article ya kutoka The Inquirer au habari kaandika Profesa Maji Marefu kampa Eric Shigongo aichape kwenye gazeti lake bure.
 
[QUOTE=Kiranga;Kwa hiyo desertification, deforestation, urbanization, industrialization ambazo zote zinasababisha less precipitation ambayo in turn inasababisha upungufu wa maji katika sources mbili za ziwa - mito na mvua- zote hizo ni natural phenomena?

Ukitaka kusema hii ni natural phenomena lete studies zinazosema hilo, usiassume tu kwa sababu ziwa limekuwa likipungua kwa maelfu ya miaka naturally basi kupungua huku nako ni natural, bila hata kuangalia rates na mambo mengine.

Ofcourse anthropogenic factors do play some part ila si katika kiwango kikubwa as articulated by climate change enthusiasts. Mfano wakaazi wa Golani pale Mwanza wamezidi kuongezeka,hao wamekata miti kule milimani,then mvua inaponyesha udongo wote unasombwa kupelekwa ziwani,kisha unapunguza kina. Kwa kiwango kikubwa mabadiliko katika sun rotation and emission ya rays yanachangia kupungua kwa kina kutokana na kuongezeka kwa kiwango cha evaporation katika ziwa. Ivyo too is evaporated while less is brought back in form of rain.
 
Kiranga said:
Kwa hiyo desertification, deforestation, urbanization, industrialization ambazo zote zinasababisha less precipitation ambayo in turn inasababisha upungufu wa maji katika sources mbili za ziwa - mito na mvua- zote hizo ni natural phenomena?

Ukitaka kusema hii ni natural phenomena lete studies zinazosema hilo, usiassume tu kwa sababu ziwa limekuwa likipungua kwa maelfu ya miaka naturally basi kupungua huku nako ni natural, bila hata kuangalia rates na mambo mengine.

Ofcourse anthropogenic factors do play some part ila si katika kiwango kikubwa as articulated by climate change enthusiasts. Mfano wakaazi wa Golani pale Mwanza wamezidi kuongezeka,hao wamekata miti kule milimani,then mvua inaponyesha udongo wote unasombwa kupelekwa ziwani,kisha unapunguza kina. Kwa kiwango kikubwa mabadiliko katika sun rotation and emission ya rays yanachangia kupungua kwa kina kutokana na kuongezeka kwa kiwango cha evaporation katika ziwa. Ivyo too is evaporated while less is brought back in form of rain.

Babu jifunze ku quote kwanza, unaharibu flow nzima mpaka watu watashindwa kujua ulichosema wewe ni kipi na nilichosema mimi ni kipi.

Au JF inachemsha ?
 
Natumia mobile phone. Inanipa tabu kuquote vizuri. Ila sikujua kumbe unacheza na JUKWAA?! Duh! Nayo kali!
 
Sijakupangia, nimekupa caliber, ndiyo maana nikatumia neno "kama". Usije kuniletea article ya kutoka The Inquirer au habari kaandika Profesa Maji Marefu kampa Eric Shigongo aichape kwenye gazeti lake bure.

Yessir!
 
Nimewasoma na mmenikumbusha mengi ya ziwa victoria. Thread nimeipenda, its useful kwa comments zile ambazo ni positive
 
Back
Top Bottom