Je UCHAGUZI MKUU 2015 Utaipa CCM au CHADEMA KURA YAKO? Kwanini?

fikirikwanza

JF-Expert Member
Jan 25, 2012
7,452
3,065
Ndg wanaJF ,

Ni wakati mzuri sasa baada ya uchaguzi wa mwaka 2005 na mwaka 2010 ambazo zilimweka kikwete madarakani kwa tiketi ya CCM, tukaangalia nini kilimweka mwaka 2005 na nini kilimweka mwaka 2010, hali ya kisiasa TZ, uwezo wa Kikwete kama rais, uwezo wa CCM kutoa rais mwaka 2015, na uwezo wa upinzani chini ya CHADEMA kutoa rais 2015, faida na hasara za kuwapa CCM au CHADEMA nchi mwaka 2015, Matakwa ya wananchi na ZAIDI MATAKWA YAKO WEWE BINAFSI kisha uamue na utwambie kama utapigia kura CCM au CHADEMA.

Nitashukuru kupata mawazo yako kabla sijatoa ripoti kuhusu changamoto na mafanikio, mwelekeo wa nchi ifikapo 2015.

Naomba kuwasilisha.
 
Siwezi kusema kwasasa hiv nitampigia kura chama gani, ikifika wakati vyama vitakaposimamisha wagomebea ndio nitajua nani wa kumpa kura. ukichagua chama matokeo yake ni kuwapa kula watu na wala si kupigia kura
 
Tunaangalia hali kama ilivyo kwa sasa, harafu tuna extrapolate the same ifikapo 2015, njia hii hutumika kujenga ufahamu wa mambo wakati mwafaka unapofika. Ili kujua mafanikio au vikwazo kutoka sasa hadi 2015, ikiwa matokeo ya 2015 yasipofanana na ya 2012 Juni. If you have to vote today, which political party would you vote for between CCM & CHADEMA, not a person please.

And WHY? in bullet points.
 
Sipigi kura kishabiki kiivyo! 2015 bado ni mbali na mambo mengi yanaweza kutokea hapo kati na kubadilisha muelekeo kabisa!
 
hebu 2ngoje katiba mpyaa endapo itaondoa madaraka mengi kwa raisi kuwe na uhuru wa mihili mi3 ya nchi, mawaziri wasiwe wabunge nk ndo nitatizama chama kipi kina mgombea strong ila kama katiba ijayo itafanana na hii ya sasa ccm hata wamsimamishe mtume mohamed kura itaenda cdm tu.
 
ikifika 2014 ccm haita kuwepo kwani naona kasi ya kuiuwa inaogezeka sana nape anajitahidi na mukama wake ambapo ccj itakuwa tayari imesajiliwa ...kura yangu kwa chama makini usijaribu upepo wake
 
tuanzie kwanza kwenye bajet ya mwaka huu ni trion15 pia tua maoni ya katiba mpya
 
Ndg wanaJF ,

Ni wakati mzuri sasa baada ya uchaguzi wa mwaka 2005 na mwaka 2010 ambazo zilimweka kikwete madarakani kwa tiketi ya CCM, tukaangalia nini kilimweka mwaka 2005 na nini kilimweka mwaka 2010, hali ya kisiasa TZ, uwezo wa Kikwete kama rais, uwezo wa CCM kutoa rais mwaka 2015, na uwezo wa upinzani chini ya CDM kutoa rais 2015, faida na hasara za kuwapa CCM au CDM nchi mwaka 2015, Matakwa ya wananchi na ZAIDI MATAKWA YAKO WEWE BINAFSI kisha uamue na utwambie kama utapigia kura CCM au CDM.

Nitashukuru kupata mawazo yako kabla sijatoa ripoti kuhusu changamoto na mafanikio, mwelekeo wa nchi ifikapo 2015.

Naomba kuwasilisha.

Aliiba kura na kubaka democrasia
 
nimejaribu kubainisha hotuba za viongozi wa vyama hivi viwili but kwa mtazamo wangu big up kwa m4c
 
Ni CHADEMA ndo wanasifa ya kutoa rais akajibu matarajio ya wananchi, ccm wamepoteza sifa ya kuongoza
 
chadema' coz ndicho chama chenye uwezo wa kumuondoa maskin wa tz hapa alipo-na rais atakae toka chadema atakidhi matarajio ya wananchi.
 
Unauliza nanihii ya mbwa uko wapi na hali unauona mkia wake ulipomelea? Hivi kuna mbadala au zaidi ya PEOPLE'S POWER, M4C, CHADEMA DAIMA! ???
 
Back
Top Bottom