Elections 2010 Je uchaguzi kupiitia vyama vya siasa ni njia nzuri ya kupata viongozi wetu wa nchi ??

babayah67

JF-Expert Member
Mar 28, 2008
493
79
Kulingana na data za sasa hivi Tanzania ina watu wapatao milioni 40. Waliojiandikisha kupiga kura ni 20 milioni. Waliopiga kura ni 8 milioni. Waliomchagua JK ni milioni 5. Ukiangalia idadi iliyomchagua JK kwa idadi ya watanzania wote ni kama 12% pekee. Hii 12% ndio inatuchagulia kiongozi wa kuamua nani aishi nani afe. Je Wataalamu wa sheria, wanaharakati na wadau wengine wa masuala ya siasa mnasemaje juu ya hili?? Je hakuna njia wale wengine nje ya 12% wanaweza kuitumia kupinga matokeo????? Naomba kuwakilisha
 
Habari ndo hiyo...
kinachohitajika ni mwamko mkubwa zaidi kwa wapiga kura na ufasihi zaidi katika tendo la kupiga kura! Tukiweza kupandisha idadi ya wapiga kura mpk kufikia around 75% of total registered voters tutakuwa tumepiga hatua. maana twakimu zinasema waliopiga kura ni 42% tu ya total voters!
 
Back
Top Bottom