Je twaweza shinda vita ya ukombozi wa Tanzania dhidi ya mkoloni mweusi wa ndani bila uwepo wa Mungu?

Kila upatapo nafasi ya kumuomba na kumshukuru mungu wako yafaa ufanye hivyo, kwani kila andiko lenye pumzi ya mungu linamafaa kwa muamini.

Harakati zozote zile za ukombozi wa mnyonge ili zifanikiwe yafaa jina la bwana liwe juu yao!!!

Ma thinker kila mtu kwa imani yake amuombe mungu! Twendeni makanisani na misikitini!!!!!!!!!!!!!!
Kwani lazima uandike thread kila siku, hivyo vita vyako vinapiganiwa wapi?
 
Kila upatapo nafasi ya kumuomba na kumshukuru mungu wako yafaa ufanye hivyo, kwani kila andiko lenye pumzi ya mungu linamafaa kwa muamini.

Harakati zozote zile za ukombozi wa mnyonge ili zifanikiwe yafaa jina la bwana liwe juu yao!!!

Ma thinker kila mtu kwa imani yake amuombe mungu! Twendeni makanisani na misikitini!!!!!!!!!!!!!!

paragraph ya kwanza maneno ya mwisho hayaeleweki ulikuwa na papara ya kuandika.
Unatetemeka nini acha uwoga.
 
Kila upatapo nafasi ya kumuomba na kumshukuru mungu wako yafaa ufanye hivyo, kwani kila andiko lenye pumzi ya mungu linamafaa kwa muamini.

Harakati zozote zile za ukombozi wa mnyonge ili zifanikiwe yafaa jina la bwana liwe juu yao!!!

Ma thinker kila mtu kwa imani yake amuombe mungu! Twendeni makanisani na misikitini!!!!!!!!!!!!!!
Ni ngumu watu kukuelewa japo hapo ndipo iliposhida ya mtu mweusi!!Mungu kawekwa kando YASIYO HAKI YAMESHIKA HATAMU.
 
Kila upatapo nafasi ya kumuomba na kumshukuru mungu wako yafaa ufanye hivyo, kwani kila andiko lenye pumzi ya mungu linamafaa kwa muamini.

Harakati zozote zile za ukombozi wa mnyonge ili zifanikiwe yafaa jina la bwana liwe juu yao!!!

Ma thinker kila mtu kwa imani yake amuombe mungu! Twendeni makanisani na misikitini!!!!!!!!!!!!!!

tuanze na vita zifuatazo:
tokomeza sumu
tokomeza watindi
tokomeza kujiteka
tokomeza kujilipua
tokomeza uhafidhina.
Vilevile ukumbuke unakesi ya kujibu mahakamani kwa ajili ya tamthilia mlioitunga na ben14HRS
 
Member "Mkuu wa Kaya" amewafunua wazi unyama wenu kule Arusha
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom