Je Tutapona wenye wapenzi UDSM & Mzumbe?

Katika ulimwengu wa sasa ni kuwa makini tu vijana...wakitoa takwimu za makanisani mtakimbia...za wilaya mtashangaa.....but walio wengi vyuoni wana mahusiano ya kawaida.....ila kuna wachache wanajiuza kabisa hasa UDSM...kuna hostel za kufoji survey na mlalakuwa wamegeuza guest usiku...unapigia humo humo....na hii imewafuata hata mademu walioko changanyikeni,golani,kibo na msewe....wengi wanagongwa na watu wa nje bora una pesa ya kumfanya apendeze mjini hapa....baadhi wanagawa kwa malecturers hasa CASS na UDBS.

People have details. People have experience! Lol
 
Hivi unasema nini hapa? Kuna mtu anamwelewa anieleweshe?

Utanielewa tu ukihtaji kuelewa lkn usikifanye kichwa kuwa kigumu kuelewa kama kina nusu maji, robo moshi na open space theluthi moja knachobaki ndo akili itakuchukua muda ila tufate taratibu tutaenda sawa"
 
usiaminikingahaisaidii kuwanammoja nakilammoja ajilinde kwaajiliyamwenzeke hakunalazaidi.
 
Kuna wengine wachumba zetu wanasoma pale.

weye mwenzangu na mie; kaazi kweli kweli unaeza jitunza huku mtaani kumbe mwenzio Lecturer kampnda ofisini kwa ajili ya kutaka 'A' na hapo ni kuuloeka tu hakuna kutumia Condom
 
Katika ulimwengu wa sasa ni kuwa makini tu vijana...wakitoa takwimu za makanisani mtakimbia...za wilaya mtashangaa.....but walio wengi vyuoni wana mahusiano ya kawaida.....ila kuna wachache wanajiuza kabisa hasa UDSM...kuna hostel za kufoji survey na mlalakuwa wamegeuza guest usiku...unapigia humo humo....na hii imewafuata hata mademu walioko changanyikeni,golani,kibo na msewe....wengi wanagongwa na watu wa nje bora una pesa ya kumfanya apendeze mjini hapa....baadhi wanagawa kwa malecturers hasa CASS na UDBS.

mzeee naona umetiririkaaaaa si mchezo hawa mabinti ati...
 
tathmini ya wanachuo waishio na vvu kwa mwaka 2011 kwa vyuo hivi viwili imepanda kulinganisha na mwaka 2010 ambapo udsm ilikua 0.6%
sasa hebu ona hii;
udsm~2.3%
mzumbe~200+
kwa takwimu hii ambayo ni skeleton kwa namna flan ni kwamba elimu imewakomboa au imewapoteza?

unataka uishi milele kwani wewe mungu. Kwetu pazuri nimeshapakumbuka...
 
Vaeni Condoms nyie watoto,huko mnaonjana tu ni wachache mnakaoukuja kuoana,sasa jifanyeni mnasikilizia mfe.
 
ni mtazamo wake tu. wanafunzi wengi hawachukuani. utashangaa mwanachuo anamchukua mama lishe nk au anachukuliwa na mjasiriamali. so kila sehemu ni hatari tupu.
 
Back
Top Bottom