Je tutafika kwa mtindo huu

Rajabu kiama

Member
Dec 5, 2011
7
0
mchakoto wa katiba mpya kwa upande wangu inatisha kwa kuona viongozi wetu wenye zamana wakirumbana na kukutana vikundi kwa vikundi na raisi kwann wasikutane wote kwa pamoja na la zaidi rais anapendekeza uchaguzi ujao katiba mpya iwe tayari hivi ni rahisi kiasi hicho miaka 2 kwa upande wangu haitoshi ya kenya imechukuwa si chini ya miaka 7 au zaidi isitoshe raisi anatumia hata vitisho rejea kikao cha raisi na wazee Dar-es-salam
 
Back
Top Bottom