Je, Tunajifunza nini kutokana na picha hii ?

KING COBRA

JF-Expert Member
Nov 10, 2011
2,782
864
[h=2]Monday, 11 April 2011[/h]



Hatimaye,Laurent Gbagbo na mkewe Simone amekamatwa kama Saddam Hussein akiwa amejificha shimoni huku jasho likimchuruzika. Ameondoka kwa aibu, pingu mikononi huku akipewa taulo ajifute jasho. Aliloa kuanzia kichwani hadi unyao. Alionekana kuchanganyikiwa na kunywea akijifuta jasho hata kwenye makwapa bila aibu. Ile jeuri na mbwembewe na midenguo tuliyozoea toka kwake na mkewe aliyewahi kuwatukana viongozi wote maarufu duniani vilikuwa vimetoweka.
Ni furaha iliyoje imla mwingine kuangukwa kwa kila aina ya aibu!Kwa habari zaidi,












[h=3]CCM: Nyoka hata ajivue gamba anabakia kuwa nyoka[/h]

Heri CCM wangeweka kichwa na mkia wa nyoka kwenye nembo badala ya jembe na nyundo
 
[h=2]Tuesday, 12 April 2011[/h]


Gagbo na Mkewe walikamatwa Kitandani!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!


Gbagbo, mkewe Simone na mtoto wao Michael wakiwa hawaamini arobaini yao imetimu!


 
Nionavyo mimi ni kwamba siku za Kikwete na wabunge wa Tanzania zinakaribia. Mungu saidia waliongia porini kujiandaa.
 
Back
Top Bottom