Je, tunahitaji Vazi la Taifa?

Kumbuka vitambaa havitolewi bure vitakuwa vinauzwa,kwahiyo ni hela yako tu,sasa kama watanzania wote tupo vizuri tutanunua quality ya juu,vinginevyo ni sawa tu viwepo vya style zote.

kama ni kuuzwa kila mtu atanunua kitambaa kwa ukubwa anaoutaka kulingana na mahitaji na kipato lakini ubora wa kitambaa kutofautiana ni tatizo..kwanini kiwe tofauti..lakini??
 
Ni wazo zuri kuwa na vazi la Taifa kama ishara ya kuitambulisha Tanzania, maana sio kweli kwamba hilo vazi litavaliwa na Watanzania tu, bali hata wageni kama vile watalii watapenda kulivaa ili wakirudi kwao waonyeshe kuwa walifika TZ. Tatizo linaloliona na hili la aina ya kitambaa cha kushona vazi la Taifa, ilipaswa wajikite kwenye rangi au mwonekano wa vazi husika kuliko kuweka ubaguzi na matabaka kwa kugawa kitambaa cha Watu mashuhuri na watu wa hali ya chini. Wakumbuke kuwa Mungu hakuumba Watanzania kwa ubaguzi kama huo.
 
In Tanzania, the kanzu was introduced by Arab traders and missionaries from Oman who were conducting dawah. The Tanzanian kanzu is identical to the Arabic thobe. Originally, the kanzu was made from silk. Today, due to Islamic restrictions on silk garments, it is made from polyester or other synthetic fabrics made to resemble silk. The distinctive feature of the Tanzanian kanzu is the tassel that hangs from the collar. In some families, the tassel is perfumed with African oils or Arabic attar (oils) before wedding ceremonies. The kanzu is always worn with a kofia, a small embroidered cap.[SUP][3][/SUP]
In the West, and in many Arab countries, the Tanzanian kanzu is sold by merchants as an Omani thobe, Yemini dishdasha, or Emirati thobe. The best quality kanzus are manufactured in the United Arab Emirates. HKT is one manufacturer. Saudi and inexpensive Chinese made versions are common.

A traditional Kofia (cap).​

Among the Swahili men of Tanzania and Kenya, the kanzu is always worn with a suit jacket, blazer, or sport coat.[SUP][4][/SUP] For formal wear a Tanzanian man will don a kanzu, a suit jacket, and a kofia (cap).[SUP][3][/SUP] Tribal chiefs wear the kanzu with a black bisht when attending a black tie event. A white or ivory bisht is worn to white tie events. In many Western countries, the bisht is sold by merchants as a Saudi abaya or Abayah. According to custom, a kanzu must be crisp, that is dry cleaned and starched, before it is suitable for formal wear.
The kanzu is the national costume of Tanzania, and is the formal wear of most of the tribes in the country. For informal events, a Saudi manufactured thobewith a mandarin collar or the dashiki shirt and a kofia is the traditional attire. Although the Tanzanian kanzu was borrowed from Arab culture, it is worn by all religious faiths, including Christians, Muslims, African Jews, and members of African traditional religions.
 
Vazi la Taifa halitafutwi na halijawahi tafutwa! Wamasai walitafutiwa na nani Rubega? Au hao waGhana na waNigeria walitafutiwa na nani vazi lao? Am worried that we'll spend a lot of money ktk kitu kisicho na tija kwa maana at the end the mapokeo na "ownership" ya vazi kwa watanzania walio wengi isiwepo...........

If we've survived 50 years without it, why should we have it?
 
wananchi wakipendekeza na viatu viwemo kwenye vazi la taifa,itakua.lakini inashangaza msisitizo kuwa kitambaa.

VAZI LAZMA NA VIATU
VILEMBA
KOFIA, HAHAHAHA
asa wakishaleta hilo vazi?
issue za msingi kama
madawati,dawa,miundombinu ya tz ni hovyo sana
imeshinda hapo sasa inaanza mambo ya mavazi ya taifa,


nonsense
 
Vazi la Taifa halitafutwi na halijawahi tafutwa! Wamasai walitafutiwa na nani Rubega? Au hao waGhana na waNigeria walitafutiwa na nani vazi lao? Am worried that we'll spend a lot of money ktk kitu kisicho na tija kwa maana at the end the mapokeo na "ownership" ya vazi kwa watanzania walio wengi isiwepo...........

If we've survived 50 years without it, why should we have it?

alafu lile vazi la Nigeria linawatambulisha vyema,sijui mchakato gani ulitumika kulpata au lilikuja gafla tu..pia wao wanakofia pia sisi pia tutaiga uvaaji wa kijikofia kama ilivyoelezwa hapo juu.
 
kwahiyo mkaa mweupe unamaanisha tuanze kukampeini uvaaji huo wa pwani kisa una historia kubwa hapa Tanzania?
 
katika kitu ambayo naona serikali inapoteza nayo muda ni swala la vazi la kitaifa,kwanza ni swala ambalo hata hilo vazi likipatikana itakuwa ni kazi bure,leo hii na matatizo yote haya bado mtu eti ujivalishe vazi la taifa?likusaide nni?
pili hawa viongozi wanaotaka vazi la taifa wanashindwa kujua kua hizo nchi zenye mavazi ya kitaifa si kwamba serikali zao ziliwachagulia wananchi,la hasha,ni wananchi wenyewe walijikuta wanavaa vazi flan kwa wingi,kulingana na mila zao,kabila zao n.k-then at last,serikali ikaja ku-declare kuwa hilo ndo vazi la taifa,
dunia ya leo si ya kutafuta vazi la taifa,maana kila mtu ana utaratibu wake wa kuvaa.
Watu kama kina thomas sankara walijitahidi kuleta vazi la taifa,akalazimisha wafanyakazi wotewa serikali kuvaa nhguo hizo wakifa ofisini,amekuja kufa,kaondoka na utaratibu wake,so binafsi naona kwa dunia ya sasa hili swala ni impracticable
 
Nimekua nikishangazwa na mwenendo mzima wa kupata VAZI LA TAIFA..
Wahusika wakuu wa mchakato huu, kwa nyakati tofauti nimewasikia wakiongea..mara kitambaa kiwe hivi,kiwe cha rangi gani,kiwe kitambaa cha suti n.k
kibaya zaidi nimewasikia wakisema eti..kitambaa hicho kitakuwa na ubora tofauti kulingana na hadhi ya mvaaji..wakitolea mfano wabunge, eti kitambaa chao kitakua na quality tofauti pia wao wanaweza kuchagua suti waipendayo kutokana na kitambaa hicho..
Kwa ujumla mawazo yao yanajikita kwenye kitambaa na ubora wa kitambaa hicho.
Sasa wadau magreat-thinker wa jf..naomba tujadili swala hili kwa pamoja "tunataka vazi la taifa au kitambaa cha taifa" nawasilisha.

Ningefurahi sana kama waziri mwenye dhamana ya michezo angeteua kamati ya kitaifa ya kuratibu na kufufua michezo kataka taifa letu, kwanza kwa kuendeleza michezo vijana wengi sana wangepata ajira kupitia michezo mfano wenzetu wa kenya kama unafahamu kukimia tu ni tiketi ya kupata maisha bora,sasa hilo vazi la taifa litamsidiaje kijana wa leo wa kitanzania kuondokana na tatizo la ajira.
 
Ningefurahi sana kama waziri mwenye dhamana ya michezo angeteua kamati ya kitaifa ya kuratibu na kufufua michezo kataka taifa letu, kwanza kwa kuendeleza michezo vijana wengi sana wangepata ajira kupitia michezo mfano wenzetu wa kenya kama unafahamu kukimia tu ni tiketi ya kupata maisha bora,sasa hilo vazi la taifa litamsidiaje kijana wa leo wa kitanzania kuondokana na tatizo la ajira.

swala la mpira liko wazi..tuwekeze twiga ile timu ya wanawake maana huku kwingine tumeshindwa.
 
Vazi la Taifa ni kanzu na kofia kwa wanaume, wanaotaka kulibadili hili wana agenda za siri na kwa kina mama Khanga mbili nje ndani chochote.

Hilo ni vazi la watu wa pwani!!! acha longo longo toka lini mmasai akavaa kanzu?
 
Hapa swala si aina wala ubora wa kitambaa vazi la taifa linahusisha zaidi mshono wa vazi lenyewe.Rangi,ubora ni suala la maamuzi baada ya kupata mtindo wa vazi husika.Huu ujinga wa vazi kuendana na hadhi ni upuuzi ambao wenye akili timamu hawawezi kuufikiria.
Ina maana tuweke sheria kuwa hiki kitambaa,ubora wake na mshono ni cha waziri/mbunge/Rais/Mwl au mlalahoi kama mimi,........ n.k kwamba mwingine akivaa ni kosa kisheria au?
Mbeba mkaa,kuri,mbeba zege,mkulima,mfanyabiashara ........nk sidhani kama wanataka au kusikia ubaguzi wa hiyo kamati ya kiwizi wizi.Cha msingi utoke mtindo wa ushonaji kila mtu atajua ubora wa kitambaa au rangi.
 
Hapa swala si aina wala ubora wa kitambaa vazi la taifa linahusisha zaidi mshono wa vazi lenyewe.Rangi,ubora ni suala la maamuzi baada ya kupata mtindo wa vazi husika.Huu ujinga wa vazi kuendana na hadhi ni upuuzi ambao wenye akili timamu hawawezi kuufikiria.
Ina maana tuweke sheria kuwa hiki kitambaa,ubora wake na mshono ni cha waziri/mbunge/Rais/Mwl au mlalahoi kama mimi,........ n.k kwamba mwingine akivaa ni kosa kisheria au?
Mbeba mkaa,kuri,mbeba zege,mkulima,mfanyabiashara ........nk sidhani kama wanataka au kusikia ubaguzi wa hiyo kamati ya kiwizi wizi.Cha msingi utoke mtindo wa ushonaji kila mtu atajua ubora wa kitambaa au rangi.

tuko pamoja mkuu..ubaguzi huu haukubaliki hata kidogo.
 
Mtaniwia radhi kama jambo hili litakuwa limejadiliwa humu. Mimi nina mashaka ambayo nimependa wahusika wajitokeza kuyatolea ufafanuzi ili kushawishili wote wenye mashaka kama ya kwangu kuamini kuwa vazi la taifa ni muhimu kuliko masuala kama ajira kwa vijana, mdororo wa uchumi wa nchi n.k. Naomba wahusika pamoja na wale wanaoona umuhimu wa vazi hili wafafanue haya;
  1. Ni nchi gani duniani ambayo kuendelea au kutokuendelea kwake kumetokana na kuwa ama kutokuwa na vazi la taifa?
  2. Ni kitu gani cha muhimu amabcho sisi kama taifa tumelikosa kwa miaka 50 ya uhuru kwa sababu ya kutokuwa na vazi la taifa?
  3. Hivi viongozi wetu wanataka kutuambia kwamba tumekuwa uchi kwa miaka 50 na kwamba sasa tunahitaji kujisitiri?
  4. Wanataka kutuambia kuporomoka kwa umoja wa kitaifa, siasa mbovu na ufujaji wa mali za umma mwarobaini wake ni kipande cha nguo??
  5. Wanataka kutuaminisha kwamba vazi la taifa ni muhimu, kinastahili kipaumbele zaidi kuliko elimu ya watoto wetu?
  6. Hawa wanaoendesha mchakato wa kupata vazi la taifa wanatumia mbinu gani za kisayansi ya kukusanya maoni ili mwisho wa siku wadhibitishe kwamba vazi litakalopatikana litawakilisha tamaduni, imani, hisia za watanzania wote lifae kuitwa vazi la taifa?
Ongeza na maswali mengine
 
Angalia Avatar yangu utajuwa mimi ni kutoka Taifa gani.

Ni utambulisho wa Uraia wako. Kama mimi hilo ni vazi la taifa letu la Oman.
 
Back
Top Bottom